Msaada: Amepandikiziwa HIV baada ya kukataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi

Ila ukmwi wa kupandikiza kimapepo haupo jamani huo ni ukimw wa kweli tumia dawa asil utapona
 
Wakuu rafiki yangu hivi ninavyoongea ni mtu wa mawazo muda wote . Naombeni ushauri wenu kuna jamaa alimtongoza alipokataa akamwambia atamkomoa. Atafanya awezalo ili asiwe na mwanaume yoyote kimapenzi

Na huyo jamaa Baba yake ni mganga wa kienyeji kwa ufupi ni watu wanaotumia nguvu za giza. Kinachotokea ni kwamba binti alianza kupokea sms za vitisho na akaambiwa awahi hospital akapime Afya yake Kwani mume anaye ishi naye ni mgojwa wa HIV ,

Rafiki yangu huyo ndipo alipokuja kunilalamikia kwa nini iwe hivyo ndipo nilipomshauri waende hospital wakajue afya zao lakini alikataa na kuniambia wametoka kupima miezi mitatu iliyoisha yeye na huyo shemeji ambaye ndiye mumewe.

Sms zikawa zinaendelea kutumwa na no isiyojulikana zikisisitiza aende hospital mumewe ameugua, mwisho ikabidi binti amsihi mumewe wakaenda waliyoyakuta huko ni kwamba mwanaume mzima mwanamke ndio vipimo vinaonyesha positive.

Binti anasema hajawai kuwa na mahusiano kiholela kwa ufupi anasema hajawai kufanya sex na mwanaume ambaye hajui afya yake pia kabla hajaolewa alipima afya na mumewe .walipima afya zao mara 2. Vipimo vipo vizuri na ndio maana wakafunga ndoa.

Kwa mujibu wake akaamua kwenda kwa mganga kijijini kwao kuangalia nini tatizo ndio kufahamu yule mwanaume aliyemkataa ndiye aliyempandikizia HIV

Sasa issue ni kwamba binti amehangaika sana kwa wataalam lakini mwisho hali bado ile ile ipo kwake tu. Nikimuhoji au kumuuliza kama alijichoma na vitu vya incha kali anasema hapana.

Na huyo jamaaa sasa amejionyesha wazi anasema akitaka apone hilo tatizo awe nae kimapenzi sasa binti hataki kuwa nae maana binti ameshaolewa.

Nawasilisha. Naombeni mawazo yenu katika hili jambo hili ni swala serious kama huna cha kuchangia dharau kejeli si mahala pake . rafiki yangu yupo katika wakati mgumu sana.
Anaishi wapi?
 
wapo wachawi wanapandika hiyo mambo wanatumia Mzimu wa MTU aliekufa na hiyo mambo....
 
Nooooooo!!!..........hakuna mtu ambae anaweza kuambukiza au kuambukizwa HIV kwa njia za kichawi!!.......hicho ni kiini macho tu wala hana HIV otherwise jamaa atakuwa amemuambukiza kwa njia za kawaida bila ya yeye kujua kama vile kumtoboa na kitu chenye ncha kali!
 
Mwambie aende kwenye maombi..... Au amuombe mungu kutokana na imani yake na asiwaamini waganga watamzidishia tuu matatizo
 
....mkuu pole sana kama hujakutana na haya mambo
Believe me!!........ Hakuna suala kama hilo,ingekuwa inawezekana kumwambukiza mtu HIV kwa njia za kishirikina hakika hapa Afrika hakuna mtu ambae angepona!.......Kungetokea HIV war!....... Watu wangeuana ovyo!!......na pia kungekuwa na issue kama hiyo hapa Afrika ungekuta inatumika sana kuadhibiana,inajulikana sana na pia inazungumzwa sana!
 
M
Wakuu rafiki yangu hivi ninavyoongea ni mtu wa mawazo muda wote . Naombeni ushauri wenu kuna jamaa alimtongoza alipokataa akamwambia atamkomoa. Atafanya awezalo ili asiwe na mwanaume yoyote kimapenzi

Na huyo jamaa Baba yake ni mganga wa kienyeji kwa ufupi ni watu wanaotumia nguvu za giza. Kinachotokea ni kwamba binti alianza kupokea sms za vitisho na akaambiwa awahi hospital akapime Afya yake Kwani mume anaye ishi naye ni mgojwa wa HIV ,

Rafiki yangu huyo ndipo alipokuja kunilalamikia kwa nini iwe hivyo ndipo nilipomshauri waende hospital wakajue afya zao lakini alikataa na kuniambia wametoka kupima miezi mitatu iliyoisha yeye na huyo shemeji ambaye ndiye mumewe.

Sms zikawa zinaendelea kutumwa na no isiyojulikana zikisisitiza aende hospital mumewe ameugua, mwisho ikabidi binti amsihi mumewe wakaenda waliyoyakuta huko ni kwamba mwanaume mzima mwanamke ndio vipimo vinaonyesha positive.

Binti anasema hajawai kuwa na mahusiano kiholela kwa ufupi anasema hajawai kufanya sex na mwanaume ambaye hajui afya yake pia kabla hajaolewa alipima afya na mumewe .walipima afya zao mara 2. Vipimo vipo vizuri na ndio maana wakafunga ndoa.

Kwa mujibu wake akaamua kwenda kwa mganga kijijini kwao kuangalia nini tatizo ndio kufahamu yule mwanaume aliyemkataa ndiye aliyempandikizia HIV

Sasa issue ni kwamba binti amehangaika sana kwa wataalam lakini mwisho hali bado ile ile ipo kwake tu. Nikimuhoji au kumuuliza kama alijichoma na vitu vya incha kali anasema hapana.

Na huyo jamaaa sasa amejionyesha wazi anasema akitaka apone hilo tatizo awe nae kimapenzi sasa binti hataki kuwa nae maana binti ameshaolewa.

Nawasilisha. Naombeni mawazo yenu katika hili jambo hili ni swala serious kama huna cha kuchangia dharau kejeli si mahala pake . rafiki yangu yupo katika wakati mgumu sana.
Muambie uaminifu unalipaa, so aendelee kuwa muaminifuu, hayo ni mazingaumbwe tuu, kisayansi hakuna jambo kama hiloo!!
 
amwambie mume wake hali halisi.. vitu vingine vinaongeleka.. huyo mumewe kama mwelewa hilo sio tatizo kabisa... ingekuwa upande wangu huyo mganga angekuwa kuku dk sifuri tu..!!!!
sipendi ujinga kwa mke wangu..!
 
na kama ana uhakika kweli kapandikizwa.. mwambie asiwe na wasi wasi hapo hamna kitu ni mazingaombwe tu... cha kufanya aishi maisha yake ya kawaida na mumewe wala hataona tatizo lolote...!!!!
kapumbazwa macho tu hapo....
 
Hakuna jambo la kumshinda Mungu pokea uponyaji ktk jina la Yesu navunja na kuharibu kazi zote za wachawi,waganga na wanga natangaza uhuru tangu saa hii amen
 
Back
Top Bottom