Mrisho Mpoto: Diamond alinipa funzo la maisha, ukipata mia tano kula mia mbili, mia tatu wekeza

Pale mtu anapo fanikiwa... Siku zote husemwa vizuri tu.
Ebu ngoja mtu huyo aishiwe....
 
Yaan Mpoto anashauriwa na Diamond ishu ya kuweka Akiba kujiendeleza kimusic? Kweli nilikuwa namkuza Kumbe kichwa box tu nae
 
Yaan Umri na Exposure yote awe hajui umuhimu wa saving mpaka ashauriwe na Diamond? Labda alikuwa kwny kutafuta Kick
Kwani wewe hujuwi kama Mjomba anamatatizo ya ubongo wa kati njomana Sometimes atembea pekupeku.
 
Huyo mtembea peku lazima ashauriwe na diamond. Mpuuzi sana. Yaani badala ya yeye kumshauri dai anatoka kidomodomo eti kashauriwa
 
Back
Top Bottom