mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,197
- 49,744
Sijui ni uchawa au kujitoa akili.
Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi
Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya serikali badala ya kuimba yeye anahutubia kwa kutoa takwimu, hiyo sio sanaa, sanaa haina takwimu.
Usijipe kazi za mawaziri kuhutubia kwa takwimu bali tuburudishe kisanii.
Unaboa kukusikiliza