Mrisho Gambo: Ninapitia mateso lakini Yesu Kristo alishapitia mateso makubwa zaidi kwa ajili yangu, Leo Nimezaliwa Upya!

Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke?

Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo alipitia mateso makubwa kwa ajili yake na amejihisi Leo amezaliwa Upya

Source: Upendo tv

Mlale unono 😁
Wakati anamkomoa Nabii Lema alidhani itakuwaje, Jiwe aliyemsifia leo yuko wapi? Atavuna anachopanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom