Mrisho Gambo: Ninapitia mateso lakini Yesu Kristo alishapitia mateso makubwa zaidi kwa ajili yangu, Leo Nimezaliwa Upya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
98,172
172,363
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke?

Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo alipitia mateso makubwa kwa ajili yake na amejihisi Leo amezaliwa Upya

Source: Upendo tv

Mlale unono 😁
 
Dj Walete wasukuma kutoka koromije kwanza watupe burudani
 
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke?

Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo alipitia mateso makubwa kwa ajili yake na amejihisi Leo amezaliwa Upya

Source: Upendo tv

Mlale unono 😁
Mrisho gambo ni muislamu? Naomba kujua
 
Wakiwa na pembe wanvitumia vibaya kwa manufaa yao, yakikatwa pembe wanarudi kutulilia sie tulioumizwa na pembe zao.
Ata Samia akitoka madarakani wafuasi wake akina Abdul na Mchengerwa watafikiwa tu. Wakapate ushauri kwa Dotto James....alikuwa anawaruka Clients wanaostahili kupeleka certificate za wakandarasi Hazina kwa ajili ya malipo then yeye analipa anavyojisikia kisa Rais anamasilahi na mradi husika.
 
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke?

Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo alipitia mateso makubwa kwa ajili yake na amejihisi Leo amezaliwa Upya

Source: Upendo tv

Mlale unono 😁
Malipo ni hapahapaa

Ulivyokuwa unawapitishe wazakoo

Hukujua kwamba malipo ni hapa hapaa

Tulia sindano zikuingie

Makondaa ongeza nyingine dosing bado haijaingia

Kauli ya serikalii nii nenda kwenye vikaooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom