Itakuwa huo huyo jamaaa Ana msemea pale hiyo nyumba kijijin karibu na shule umefikaYule alilima mahindi akapiga mbolea watu wakabaki wanashangaa?
Itakuwa huo huyo jamaaa Ana msemea pale hiyo nyumba kijijin karibu na shule umefikaYule alilima mahindi akapiga mbolea watu wakabaki wanashangaa?
Haha baba Celina Ana itwa Celina .....kama na kuona kwenye Ile nyumba ake upande wa pili sero ahaaa ukiwa unakula tunda kimasihara wahuni wafungwa Wana skilzia mikito ......,uko tabora Nini mkuu???? Pale ametoka siku hizi
Mara ya mwisho umetoka lini huko
Saf sana mzee yule dada mtu poa sana mkarimu sana na mfahamu ........ nilikuwa na waza kimasihara watuhumiwa kuwepo msala sana kwao rooms ziko karibu sana nilskia Yuko huku kijiji Cha mbele kama unaenda bulombola na kajejeHuyo huyo kiongozi, kimasihara haikuwepo kukiwa na watuhumiwa
Saf sana mkuu tulpishana muda wa kwenda huko niljua ameolewaNilitoka mwezi wa tatu mwishoni huko lakini naamini ntarudi
Haha baba Celina Ana itwa Celina .....kama na kuona kwenye Ile nyumba ake upande wa pili sero ahaaa ukiwa unakula tunda kimasihara wahuni wafungwa Wana skilzia mikito ......,uko tabora Nini mkuu???? Pale ametoka siku hizi
Hapan huyu mwamba simpati mkuu jamaaa Yako???? Niliwa zoea walimu wa pale shule Kuna jamaaa wawil wasukuma walimu ,moka mkuu muha .Kuna jamaa mmoja anaishi kijiji hicho ambacho ulikuwa unaishi mwenyeji wa Kahama kuna muda anaendesha bodaboda sijui kama unaweza ukawa unampata
Mtendaji Bado una mawasiliano nae ?
Mtendaji Bado una mawasiliano nae ?
Hapan sijanunua mkuu project fulan kule huwa na tumia mashamba ya kijijiHujanunua shamba kule kiongozi?
Saf sana hopefully one day utaenda huko ilagala mkuu mwez april nitakuwa hukoMawasiliano yapo sema alihamia ilagala mbali na pale
KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWESEUko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWEUko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
Wew tu mkuu pisi ziko nying huko za motoKWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWESE
Ubarikiwee mkuu umenipa kitu cha thamani sanaUnajua Papa Gx haya maisha kujitoa muanga tu,na furusa za kutoboa ambazo hazina ujanja ujanja zimebaki kwenye kilimo ndugu zangu yani mjini kumeshabana na kutoboa sio kama unavyofikiria wewe zaidi ya kusifia matajiri na kuwanyenyekea wenyewe wanaita Chawa.Yani ukubali kudhalilishwa na mtu alafu anakugawia kipande cha mkate haya ni maisha ya kipumbavu kabisa ndo maana wimbi la vijana kila siku linaongezeka kuwa chawa wa watu flani kisa kutaka maisha mazuri matokeo yake wanageuzwa kuwa mashoga na kufanyiwa udhalilishaji.Ebu watanzania tuamke,Nchi hii bado inamaeneo makubwa sana na aridhi bado ni bikra kabisa,yani kuna maeneo unaenda hadi unashangaa watu wanaishi uko lakini huduma za kijamii zipo mbali ebu fikiria wewe ukaenda uko ukaamua kujitengenezea kijiji chako yani ukafungua huduma ukaweka mashine yako ya kusaga,ukafunga Solar panel yako kubwa ukawa unaonyesha mpira na matukio ya Kitaifa,ukafungua hapo kijiduka chako huko unauza Vocha,mafuta dawa za binadamu yani maitaji yote ya msingi ukawa unauza.Maana huko hakuna TRA anaefika wala TFDA atakae kuuliza cheti cha kuuza dawa za binadamu kiko wapi.Yani huko kwa muda mfupi utafahamika na kuwa maalufu maana uko mtu anatembea kilo mita kadhaa kwenda kuangalia taarifa ya habari kijijini au kuangalia mpira.Tunaendelea kwakuwa wewe ni msomi ulie na elimu utalima kilimo cha kisasa na utaweza kufundisha pia wakulima wenzako kilimo bora hivyo utatengeneza jina na wakulima watakuamini na kukuletea matatizo yao hivyo utaitwa Bwana shamba na utapiga ela kupitia ushauri na mashamba darasa yako pia utafungua huduma ya kuwauzia dawa za kilimo kama vile dawa za kuua magugu shambani,viwatilifu nk hapo utajenga jina na kufahamika zaidi. Kumbuka kule ni porini kuna wafugaji ni wengi na kwakuwa hapo kwako ndio kijiwe cha wakulima na wafugaji wanaokuja kupata huduma zao mhimu kama kuangalia mpira,kusaga,kununua dawa za kilimo,dawa za binadamu nk hivyo utakuwa unafahamika sana.Tunaendelea hapo kunafurusa nyingine ya kuuza dawa za mifugo kwa wafugaji maana wafugaji wanatembea kilo mita kadhaa kwenda kununua dawa za mifugo huko,hivyo ukiweza kuleta dawa hizo na kuwauzia tayari umetengeneza mahusiano makubwa na wafugaji hivyo utaitwa Daktari wa mifugo.Hapo jifunze matumizi ya dawa mabalimbali za mifugo,kuchoma sindano nk,kwakuwa utakuwa na Simu janja mengine unajiongeza Google search ndugu yangu hapo wafugaji watakuwa wanakimbilia kwako kupata huduma na ushauri.Kwakuwa wewe utakuwa huko jenga urafiki na maafisa kilimo/mifugo na pia mwenyekiti wa kijiji na mtendaji wawe rafiki zako maana kuna michongo mingine kijijini zitakuwa zinakuja wanakutonya maana wewe utakuwa ni The Don tayari.Tunaendelea pia kumbuka huko huduma za kifedha ni shida hivyo utakuwa ukitoa huduma za kiedha lakini sio kwa kiwango kikubwa hapo utaangalia na aina gani ya mtandao unapatika uko hivyo utatafuta makampuni ya simu na kupata line za uwakala na pia usisahau kupata Code ya kusajili laini za simu maana kule hakuna frilencers wanaofanya kazi hizo hata hapo kijiji hakuna.Hivyo utajiongezea umaalufu.Tunaendelea tayari umeshajenga jina kwa viongozi wa.kijiji hivyo michongo ya kusimamia chaguzi zikifika au sensa ya makazi zikifika lazima upate au Kuna mradi flani unaletwa kwa wakulima lazima upate au kushirikishwa hizo ni ela zinaongezeka hapo.Kumbuka kule umeshajenga jina kwa wakulima wenzako na wafugaji hivyo utaanza kuwanunulia mazao yao kwa bei ya kutupwa maana wakiwa wanapata shida wanakimbilia kwako na wengine kukuuzia mifugo zao kama kuku,mbuzi nk hivyo utanunua kwa bei chee.Hapo utajenga ghala la kuifadhia mazao pia utakuwa ni Agent wa mazao kuwanunulia mabosi walioko mikoani kutokana umaarufu ulio nao,hapo kipato kinaongezeka kikubwa uwe mwaminifu lakini pia usikae na kiwango kikibwa cha pesa ndani peleka benk.Tunaendelea hapo kwako hakikisha mazingira yanavutia yani upo porini lakini ni kama upo town,chakula bora,kausafiri kako ka pikipiki na pia utajenga nyumba za kiasili lakni zenye mvuto na kuweka vitanda na magodoro bora kwaajili ya kulala watu mbali mbali wanaokuja kutaka huduma za kununua mazao,kutafuta maeneo ya kununua nk.Hapo watakuwa wakilala na kulipia au pengine ukiwapa maradhi kama free kuongeza marafiki na kupata umaarufu zaidi.Kumbuka kwamba ukishakuwa maarufu hapo una uwanja mkubwa sana wa kupata pesa.Tunaendelea kwakuwa hapo tayari umejenga jina hivyo utaendelea kununua mashamba makubwa na kuendelea kupanua kilimo chako na kuongeza zaidi production mwaka hadi mwaka lakini pia kulingana na umaalufu wako, Shamba boys watakuwa wakija wenyewe kutafuta kazi na utakuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki cheap Labour kwa bei chee na uchumi wako kuendelea kuimalika kikubwa uwaminifu kwa wafanyakazi wako na kuwajali maana hao ndio wanao kuingizia pesa.Acha kudhurumu vijana wanaokuja kujitafutia maisha kwa jasho lao utakuwa una hatarisha uchumi wako.
Pia kwakuwa utakuwa na mashamba makubwa,shamba ambalo linafika mtoni na kwenye maji yasio kauka lima miwa,migomba,miti ya matunda na pia weka mabanda ya kuku wa kienyeji,bata,Kufuga samaki wa kila aina,sungura,mbuzi,kanga nk.Yani wewe fuga chochote kitakacholeta pesa yani hata kama ni nyoka au kobe wewe fuga tu.
Tayari hapo jina limekuwa kubwa sasa utaanza kuitwa Boss na vyeo vya kiserekali vitaanza kukufata kama Mjumbe/ Mwenyekiti/Diwani/ Mwenyekiti wa wakulima maeneo uliopo nk.Hapo sasa wabunge kwenye majimbo hayo wataanza kukufata kipindi cha kampeni ili uweze kuwashawishi wakulima wenzako wawapigie kula,na kwakuwa kwako ndio kijiwe kikumbwa na huduma zote mhimu zinapatika hapo utakuwa na uwanja mpana wa kuwashawishi na kukubalika.
Nb: Kumbuka pesa unazo zipata wekeza mjini kwa kujenga majumba ya kupangisha,Guest houses nk.Pia nunua fuso yako moja tu kwaajili ya kubeba mazao yako kupeleka kwenye masoko na pia kununua Tractor ya kulimia maana tayari utakuwa na mashamba makubwa.
Pia hapo utakuwa na maswali kichwani kwako vp kuhusu watoto kusoma,jibu ni rahisi tu watoto peleka boding school na town kuna kuwa na nyumba yako muda flani unaenda kupumzika na kucheki familia yako.Wakifunga wanakuja shambani kupumzika kusaidia shughuli za shamba,acha kuruhusu watoto wakae kiboya boya ebu wafundishe shughuli za shamba kama kulima,kuangalia mifugo kujifunza maisha ya kujitegemea nk.Wewe tegemea sasa eti kusomesha watoto ili aje kuajiriwa wakati ukoo mziwa hakuna hata mtendaji wa kijiji atae kupa connection Halimashauri au Tamisem.Tufundishe watoto kujiajiri.
Ndugu zangu nimeandika kuunga mchango wa jaama huyu lakini pia kutoa idea yangu ambayo Mungu akinisaidia uhai nategemea kuanya maisha kama hayo nilio elezea.Mjini yamekuwa magumu ebu twendeni huko mashambani tukawekeze na maisha yatabadilika tu.Miaka hii tulionayo usitegemee kwa watu walioko mjini kwamba chakula kitashuka bei.Ongezeko la watu linazidi kuwa kubwa na watu wanazaliwa kila siku,hivyo mkulima ukikaza unatoboa vizuri tu.Maana vijana wengi wanakimbilia mijini wakidhani ndiko kuna furusa kumbe hakuna kitu.Tuseme tu kwa uhalisia sio kama naponda lakini ni hali harisi.Hivi kwa mfano leo utoke kijijini eti unenda mjini kutafuta maisha dsm au kwenye jiji lolotea hapa Tanzania unafkri muda utakaotumia hadi kuja kutoba na mtu atakae amua kwenda kuwekeza shambani nani atatoboa mapema?.Maana wewe wa mjini pesa yako hata ukipata iyo kazi itaishia kulipa kodi ya chumba,kulipa umeme,maji,taka,ulinzi,Chakula,nauli za daladala kila siku,watoto nauli zao za kwenda shule na kurudi,matibabu nk hapo usaidie wazazi maana most of us tunatoka familia masikini, je hata kama unalipwa.mshahara wa milioni utatoboa?
Ndo inakuja yale mambo ndugu yako akikuambia nakuja mjini unaanza kumchenga mara nimesafiri ohh mara nina semina kwani nyumbani watu hawapo? Wewe siuko safari mimi utanikuta.Kumbe hapo anawaza nitamlaza wapi uyu mgeni na atakula nini.Mwisho wa siku mgeni anatelekezwa stand ya nyegezi au Stand ya Magufuli mbezi.
Lakini mimi shambani ni fulu bata maana hata nikiwa na akiba ya 50000/= naweza kumaliza wiki nzima sijaitumia.
Kwasababu sinunui chakula,sulipi umeme hapo nimefunga soral panel kubwa umeme fulu na nimefunga dstv full mech na taarifa na matakio ya kitaifa naangalia.Maji fulu nimechimba kisima,hakuna ela ya taka wala ulinzi na pia situmii dala dala ninayo pikipiki yangu iko fulu tank ni kutekenya tu ,pia sometime nakuwa boda kwa wakulima wenzangu wanaoitaji huduma ya usafiri wanalipia.
Hapo kitoweo hakisumbui maana ninakila aina ya mifugo kuku,kanga,mbuzi nk.
Hivyo nj kutoa maagizo tu kwa shamba boy kamata uyo kuku au.mbuzi chinja tule na pia mbogamboga nikishuka bondenj kila aina ya mbogamboga iko pale.Je unataka kuniambia mwanamke uzazi utasumbua? Maana nakula mlo kamili na anapata vitamini ya kutosha vilevile na mimi kidume mwili uko imara ni kitendo cha kutekenya tu injinia soma iyoooo yani no stress.
Jamani tuamke,ninapenda kuishi maisha haya na ndoto yangu siku moja nitayaishi.
Walioko vijijini tufanye kubadilishana,nyie kimbilieni mijini sisi tuje mashambani.
Muwe na Sabato njema ndugu zangu.
Mrejesho muhimuWazee. Mungu akipenda ijumaa ntakuwa mpanda Kwa ajili ya kwenda mwese kucheki maandalizi ya maharage kupanda
Hakuna shida mkuu hofu toa juu ya hilo mida kama hiii unakuwa tabora tabora Sasa unaisaka skonge ,inyongaaa then mpandaMrejesho muhimu
Hongera na safari njema pia.Wazee. Mungu akipenda ijumaa ntakuwa mpanda Kwa ajili ya kwenda mwese kucheki maandalizi ya maharage kupanda