Mrejesho: Nimepata haki yangu hatimae

thank uu...nilimtafuta mwanasheria wa ardhi baada ya kuona hii ishu familia inaiogopa akawatumia barua ya Onyo wanapaswa kunilipa ndani ya siku 7 unless wanapeleksa mahakamani

Wakaomba sana wasipelekwe mahakamani Ila wakaambia watalipia gharama ya kesi na na wakaahidk watalipa ndani ya siku 14 kweli after 14 days wakalipa nusu baadae wakamalizia kiasi cha gharama zilizobaki
Haya nadhani watakuwa wamejifunza kidogo
 
Safi mkuu

Being woman is a gift

Wanawake simamen, msiwe wanyonge et kwa sabab ya jinsia

Wenzenu kina halima mdee na Ester Bulaya simnawaona?
 
Hongera mpendwa..haya ndio maneno............tuachane kabisa na ile kasumba ya 'kumuachia Mungu'....bali yeye tumuachie nafasi ya kutusimamia tukipambana...
 
Habarini wana jamvi

Siku kadhaa zilizopita nilileta malalamiko humu kuhusiana na dhulma niliyofanyiwa na kutapeliwa ardhi yangu.

Naomba nilete feedback na kutoa shukrani kwa wote walionishauri,na kunipa mawazo chanya ya namna ya kupigania kile kidogo cha haki yangu nikakipata

Nashukuru sana mawazo yenu mengi yalikua mazuri na ktk hilo nikajikuta nampata mwanasheria wa ardhi ambae kwa kweli alinisimamia mpk nikapata haki yangu yote bila usumbufu.

Nawashukuru sana kwa sapoti yenu jf is my second home,watu humu wengine mmebarikiwa vipawa vya ushauri wa kila aina japo wengine wachache sana wanachukulia hapa km kijiweni.

Ahsanteni sana Mungu awe nanyi nyote na awaruzuku kila hiitaji lenu.
Kwenye jukwaa la MMU, mi nikajua haki yako kuendana na jukwaa. Au mafumbo??
Vyovyote, hongera kwa kupata haki yako.
 
Karibu tena sasa fanya hv kuna kiwanja eneo fulan hv njoo piemu nkupeleke ukanunue kina bloototh vishet na Wifi.
All in all Hongera and thanks for your appriciation to JF.
 
Habarini wana jamvi

Siku kadhaa zilizopita nilileta malalamiko humu kuhusiana na dhulma niliyofanyiwa na kutapeliwa ardhi yangu.

Naomba nilete feedback na kutoa shukrani kwa wote walionishauri,na kunipa mawazo chanya ya namna ya kupigania kile kidogo cha haki yangu nikakipata

Nashukuru sana mawazo yenu mengi yalikua mazuri na ktk hilo nikajikuta nampata mwanasheria wa ardhi ambae kwa kweli alinisimamia mpk nikapata haki yangu yote bila usumbufu.

Nawashukuru sana kwa sapoti yenu jf is my second home,watu humu wengine mmebarikiwa vipawa vya ushauri wa kila aina japo wengine wachache sana wanachukulia hapa km kijiweni.

Ahsanteni sana Mungu awe nanyi nyote na awaruzuku kila hiitaji lenu.
Weka uzi huo.
 
haha nakumbuka sredi yako HONGERA SANA

ila hapo kibongo bongo ushavunja undugu na shangazi sijui mamdogo vle
 
Mae hongera sana kwa kufatilia haki yako mpaka umeipata...

Hope siku nyingine hawatafanikiwa kukuingiza chaka
 
hongera sana....usisahau kuwa penye wengi kuna mengi...ukipata tatizo omba msaada utakachokipata kupitia msaada ata kama ni maneno mawili yatatosha sana kukuongoza.
 
Back
Top Bottom