Mrejesho: Nimekuta vitu vya mwanaume chumbani kwa mpenzi wangu

I moved on from this kind of shit... Trust me you'll get over it.
Sikiliza sana mziki ni remedy bora kabisa.
One more thing... Trust no woman, except mama yako tu.
...
Ukitaka kutumbukia kwenye hali ya kuwaamini hawa takataka sikiliza wimbo huu ukuokoe na janga hilo.
 
Mapenzi sio muonekano kaka, wala sio utanashati. Mapenzi ni hisia kaka, kwani ww kuna mademu wangapi wana muonekano mzuri tu na hauna hisia nao. Kaka Kama utaendelea kuwasiliana nae ni kosa unaendelea kufanya na Kosa hilo litakurudisha kwenye mapenz tena na huyo Binti.. Jiulize..Kwa nn ukae kimya humwambii kosa lake wakati ushahidi unao? Halafu unataka kuendelea kuwasiliana nae. Inaonekana bado unampenda.. Na haupo tayari kumuacha. Na usipokua makini atakupa ugongwa wa moyo. Kama unataka kupona kweli fanya hivi.. Mpigie simu mwambie kila kitu ulichokiona na mpe msimamo wako kuwa hutaki kuwa nae tena.
Kaniumiza sana chief.nataka nimwambie simuitaj tena atakapo anza daiwa kodi.angalau na yeye ateseke kidogo.mana nahisi aweki akiba ya pesa.hapo ndipo jamaa ataonekana umuhimu wake ama atarudi kwa shangazi yake akamuombe hifadh tena
 
Pole sana.
Lakini hongera pia maana umefanikiwa kufaulu katika shule ya mahusiano.
Maana Ulipenda, ukajitoa, ukatunza na mwisho wa siku ukatendwa.
Yote tisa kumi ulihisi jambo, ukavumilia, ukachunguza, ukagundua na ukachukua maamuzi SAHIHI.

Kwa sasa ili uweze kusonga mbele, sahau yaliyopita, KATA KABISA MAWASILIANO na huyo malaya, pia nenda kapime Ukimwi, maana mtandao wa huyo dada ni mkubwa kuliko unavyodhani, huyo dada ni malaya mkubwa, hizo type zimejaa mijini sana, watu wanajipigia tu.
Watu wengi wanapata ngoma kwa style hizo hizo za mahusiano kama uliyokuwa nayo wewe, yaani utadhani wanaambiana vile.
 
I moved on from this kind of shit... Trust me you'll get over it.
Sikiliza sana mziki ni remedy bora kabisa.
One more thing... Trust no woman, except mama yako tu.
...
Ukitaka kutumbukia kwenye hali ya kuwaamini hawa takataka sikiliza wimbo huu ukuokoe na janga hilo.

Thanks mkuu wacha niusikilize
Mkuu njoo ukamatie fursa hii hapa ujifute machozi
No chief saiz na stick na kaz kwanza
Nina wasiwasi na umri wako nauwezo wako ktk kujiamini
Okay chief kivip kuwa wazi labda kuna sehem nakosea
 
Huu ni mrejesho bada ya kukuta vitu vya mwanaume mwingine Imebidi niombe wiki ya mapumziko.ili nifanye uchunguzi wa kina(usiniulize kwanini?kila mtu anajua mapenzi yanavouma.baadae nitajibu kwanini moyo wangu umeumia)basi nikamwambia binti nina safar kama ya wiki mbili hivyo hatutaonana kama tulivozoea ila kama atakua na tatizo atanijulisha.siku ya mwanzo nilifika mitaa ya binti saa moja jion mpaka saa tano sikufanikiwa.ila mida ya saa tatu usiku alitoka nikaona bada ya dk 15 akirudi na shoga yake.alipofika karibu na sehemu niliyojibanza akaanza kugeuka geuka.sikuelewa ni kwanini.kesho yake alinipigia simu akaniambia amenikumbuka sana pia alisikia harufu ya marashi kama yangu amekumbuka mambo mengi.nikajua tatizo liko wapi.siku ya pili mpaka ya sita sijaambulia chochote nikawa nimekata tamaa.lakin nikajipa moyo nimalizie siku ya saba mpaka saa tano hola ikabidi nijiondokee zangu taratibu.nafika mitaa flani natega boda nipande.naona sijui niseme dogo ama mshikaj amevaa ile flana iliyokuwa ndani kwa binti.nikashtuka sana.akili ya haraka haraka nikazuga naongea na simu akapita nikawa namfata nyuma nyuma mwisho akafunguliwa na mpenzi wangu kwa makiss moto moto.daah sio siri mapenzi yanauma sana.teyar kwa mimi ushahid ulikua umetosha.sikua na haja ya kuhakikisha zaidi.nimeumia jamaa anifikii kwa lolote.kwa muonekano wa sura,utanashati na kila kitu.ni muhuni tu flani.sijui niseme sharobaro ila hana vifaa.yaani ni aibu kujifananisha nae.
Sikua na la kufanya nikajiondokea zangu pasipo ya kujua mchezo nimeujua.sikulala usiku wa tukio usiku ulikua mrefu.waliotendwa wanajua.Asubuh mapema nikampigia mwenye nyumba mana mimi ndo nilitafuta dalali na chumba nililipa so mimi ndo nilikua natambulika kwa miaka yote.kwa kuwa mwezi huu kodi ilikua ndo inaisha nikamwambia mwenye nyumba sihusiki tena kwenye ulipaji wa kod wala maji na umeme.
Yeye bado haelewi chochote ila nimesitisha huduma zote kuanzia sasa itabidi ajitegemee kwa mshahara wake na nina iman maisha hayatamshinda.sina mpango nae tena ila sitamwambia chochote nitaongea nae kwenye simu vizuri tu.sitamnyanganya chochote nilichomnunulia kwa pesa yangu vyote ni mali yake.namtakia maisha mema

HISTORIA YA MIMI NA YEYE
Miaka 3 nyuma nilikutana na huyu binti akiishi kwa shangazi yake mana hana wazazi.sijui ila alianza kunionyesha dalili kama ananipenda kwa kuwa sikua katika mahusiano.nilimtongoza akanikubali tukawa wapenzi.bahati mbaya alikua akiteswa ila asemi.siku nikagundua kupitia kwa watu anatumika kama mfanyakazi wa ndani na mateso mengi.nikambana sana akaniambia ukweli wa maisha yake na jinsi anavyoteseka.nikamwuliza unataka nikufanyie nini ili uwe huru na aman.akakataa kata kata.nikamwambia kaa fikiria kama ni shule ama kazi halafu utaniambia ila bado aligoma.akadai yeye kunipenda na kupendwa na mimi ni faraja tosha.haitaj kitu chochote isipokuwa ni mimi tu.nikaamua kumtafutia training sehem kwa lazima kwa kuwa ananipenda ikabidi aende.baada ya miezi kadhaa alimaliza ila shangazi yake alizidisha chuki hadi akanitafuta kwenye simu akawa ananitishia.sikufa moyo kwa kuwa nimeshapenda ikabidi ninunue kazi sehemu.Akaanza miezi mitatu mbele akafukuzwa kwa shangazi yake.kwa kuwa mimi nimepatiwa room kazini sikuweza kumchukua kuishi nae.Nikaingia mfukoni nikamtafuta dalal akatafuta chumba nikapa kila kitu.nikanunua godoro na mashuka na mapazia.akaanza maisha yake katika makazi mapya vitu vingine nilimnunulia taratibu.Nikawa nina jukumu la kulipa chumba,umeme na maji mahitaji mengine natoa ninapoona mambo hayako sawa ila huyu binti hana tabia ya kuomba kitu toka mwanzo hata kama yuko na shida na sielew kwa nini na vyote nilivyompa ni kwa hiyari yangu hakuniomba.Mimi ndo babake na ndo kila kitu kwake ila nashukuru KATOKEA MSELA WA KUNISAIDIA MAJUKUMU.
Nimeamua kuandika uzi mrefu hivi mana kuna watu hawajui nimetoka wapi na huyu binti

SABABU ZIMENIFANYA NISIWEZE KUMCHUMBIA.baada ya mwaka alibadilika sana kila nikimwambia nakuja kwake anasema yuko kwa shangazi yake.Simu yake anaficha wakati sina tabia ya kuigusa wala kuipekua ingawa kila mara ni mimi ninayenunua hizo simu.wakat mwingine anakwenda kupokelea simu zake nje nikimwuliza kwanini anasema anaongea na ndugu zake mambo ya kifamilia.daah! Kwel mimi ni mvumilivu sna.Najiuliza hayo ni mambo gani?na ni ndugu zake gani wakat mimi ndo babake.nakumbuka alikua ameni save jina MUPENZI ila sasa hivi nimeseviwa jina langu la ubatizo tena kwa herufi chache zinazopoteza mana.imebid niwe nakagua simu yake mana niliona amebadilika sana.nimemkuta na mabwana wengine wawil tofaut kwa wakat mmoja ila anakataa hawataki ila wanamtongoza.Ila sms zinaonekana yeye ndo anawaanza "beib asubuh njema" beb mis you"unajua nilishindwa kumuwacha sababu ukiwa inlove unaweza ukafumania ila ukapewa maneno matamu ukaridhika na ukasamehe na kusahau.ila nafsi yangu ilisita kumuoa tokana na mapicha picha.ila sasa inatosha.Kama unataka kuoa nakushauri mchunguze sana mwanamke.miaka mitatu haitoshi kumchunguza mwanamke
mkuu ujatoa fundisho au umejifunza nn kutokana na mkasa huo
 
Kaniumiza sana chief.nataka nimwambie simuitaj tena atakapo anza daiwa kodi.angalau na yeye ateseke kidogo.mana nahisi aweki akiba ya pesa.hapo ndipo jamaa ataonekana umuhimu wake ama atarudi kwa shangazi yake akamuombe hifadh tena
Safi sana, huo ndio uanamume, hakuna tena kucheka cheka na kima, heshima yako lazima irudishwe kwa gharama pia.
Binti ni lazima aisome namba kwanza, hakuna kulipa kodi tena, maisha yakimshinda akatafute malaya mwenzie wa kumuoa au arudi kwa shangazi yake yule mkatili.
 
Pole sana.
Lakini hongera pia maana umefanikiwa kufaulu katika shule ya mahusiano.
Maana Ulipenda, ukajitoa, ukatunza na mwisho wa siku ukatendwa.
Yote tisa kumi ulihisi jambo, ukavumilia, ukachunguza, ukagundua na ukachukua maamuzi SAHIHI.

Kwa sasa ili uweze kusonga mbele, sahau yaliyopita, KATA KABISA MAWASILIANO na huyo malaya, pia nenda kapime Ukimwi, maana mtandao wa huyo dada ni mkubwa kuliko unavyodhani, huyo dada ni malaya mkubwa, hizo type zimejaa mijini sana, watu wanajipigia tu.
Watu wengi wanapata ngoma kwa style hizo hizo za mahusiano kama uliyokuwa nayo wewe, yaani utadhani wanaambiana vile.
Thanks ndugu.nasali sana nisiwe na maradhi.akili yangu ikiwa imetulia nitakwenda kupima
 
Pole sana.. Wewe c wa kwanza kupitia kadhia hii.
Niliwah kwenda geto kwa dem bila taarifa.. Mlangoni nikakuta viatu vya kiume.. Ile kugonga dem katoka amechokaa afu akaniambia kwa wakati huo alikuwa na maongezi mhimu ivyo asingewwza kuniona...
Basi kwa unyonge mwingi nikajiondokea...
daaah!!!
ilibidi uipatie uzi wake hii stori
pole joh
 
Ni fala huyo manzi...haiwezekani anashida then anashindwa kujishikiza.
Na sitaki kumwambia kama nimemalizana nae sbabu kodi itakapoisha ndo nitamkana simtambui.na hana mazoea ya kuweka akiba.mshahara lak2.chumba 50 kwa mwez,maji na umeme 25.anatakiwa alipe miez 6.ajala,ajaweka credit,naskia anaendaga club.i hope jamaa atamsaidia.anyway ni maisha yake.im done
 
Kwanza hongera kwa moyo wa uvumilivu piga moyo konde na ujiweke mbali nae! Usifanye kosa la kurudiana na huyo binti hapo ndo utajuta na kusaga meno,wala usiwe na haraka ya kutafuta replacement kwa sasa upo transition time endelea kua mvumilivu kamanda.
 
pole sana ila mchumba hasomeshwi wala hatafutiwi kazi ni mke wako wa ndoa anastahili hayo
pole tena ndugu yangu
Sasa kipi ni bora kama mchumba hasomeshwi(Maana yake abakie mjinga) wala Hatafutwi kazi(maana yake awe anakuomba pesa kila siku) nini basi apewe?
Kama mwanaume unaweza ukawa unatoa pesa zako kumtunza rafiki wa kike (Demu) iwe chakula, Vinywaji, Usafiri, Mavazi, Matibabu, Mapambo, Mitoko, Kodi ya nyumba nk. Sasa nini cha ajabu kama kwa mwanaume huyo huyo kumsomesha au kumtafutia kazi mchumba(Msichana ambaye anaandaliwa kuolewa) ?
 
Back
Top Bottom