Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

Hadi kakuona mara kumi ndo kakuomba namba? That would be an insult to my attractiveness lol
Yaani insult to the highest level,mimi hio mara ya kumi nisingetoa no kwanza excitement yote ishaisha nimeshaanza kuona mpaka kasoro zako...
Mwaka wa tatu tupo sehem moja ndio unakuja kunitongoza,ulikua wapi toka first time unaniona...?
This lady was desperate and had no any other alternative ndio maana hakuwa na namna,maybe am just thinking.....
 
Agathe Jean Claudia pole sana kwa kulishwa utumbo hapo Jana, lakini si vibaya tukaelimishana. Utamaduni ni jambo muhimu sana katika jamii. Yote kama sio mengi tunayafaja yakiwa ni matokeo ya utamaduni. Niliwahi kuwa Japan kipindi fulani, nilikaa karibu mwaka mzima nikiwa sihitaji wala kutamani mwanamke. Huko dini yao ni KAZI, "utilization of resource" ipo at a maximum. Kazi ni kazi kweli. Popote ulipo ni kazi. Hali hii humsaidia mtu kujikita katika kufikiri nini afanye ili performance iwe at a maximum. Na watu wa huko hawana excuse.

Hapa nyumbani (Tanzania) hali ipo vipi, hivi ukiwa hufungi mahesabu performance yako hapo kazini ipo vipi? Je, Muda wote unapokuwa kazini unautumia ipasavyo au ndio hivyo tena?

Katika nchi za wenzetu Kuna "classes" na kuna baadhi ya sehemu mtu hawezi ingia sababu siyo wa level hiyo. Hapa Tanzania ni tofauti sababu maisha hayana fomla, waweza ukalala maskini na ukaamka Tajiri na kinyume chake. Mfano lahisi ni zoezi la bomoa bomoa linaloendelea.

Ni jambo zuri kwenye maisha kuamua aina ya maisha uyatakayo kwani kupanga ni kaamua. Lakini ni vizuri kwenye maisha kujifunza "kukubaliana kutokukubaliana". Utamaduni katika jamii ni jambo la msingi na kwa kiasi kikubwa ndio huamua watu wafikiri nini?
 
Yaani Wewe Hujielewiiii Una Kiburi Cha Visafari Mbuzi Mbuzi Vya Kula Majini Hapa Na Pale Kumbe Upo. eneo Moja Tu.. Acha Dharau Hata Zari Angeona Maisha Ya Diamond Zamani asingekubali ila Ndo Alivuliwa Chupi Hivyo na Kuzaa Naye
duuu.....hii kali aiseee.
 
No hapa ndo mahala pake maake ambao hawajasomea nje ya nchi huwa hawaelewi haya mambo hayafanywi hata na mtu aliyesomea burundi ndugu. ila waswahili wanaona kawaida tu. waliosoma nje wanaelewa hili
Mwanzo nilifikiri una joke....Kumbe uko serious?!! Hivi huko nje hawaombani namba za simu kwenye public transport? barabarani? restaurant?club?
 
Yaani insult to the highest level,mimi hio mara ya kumi nisingetoa no kwanza excitement yote ishaisha nimeshaanza kuona mpaka kasoro zako...
Mwaka wa tatu tupo sehem moja ndio unakuja kunitongoza,ulikua wapi toka first time unaniona...?
This lady was desperate and had no any other alternative ndio maana hakuwa na namna,maybe am just thinking.....
Exactly.... I would think "kaachana na mtu wake sasa"... Hata mie nisingetoa unless for business
 
Back
Top Bottom