Mrejesho: Mchumba wangu simuelewielewi, nachanganyikiwa

Kumbe mpenzi wako yupo humu, na ulikuja kumkandia humu na unataka kumrudia ili siku mkigombana uje tena kumchamba humu?? Hivi huwezi maliza issue zako za mahusiano bila kuzileta mtandaoni?? Huyo mchumba wako kazi anayo, usipojifunza uvumilivu na staha utaachwa mpaka utashangaa
 
mkuu akikujibu ntag!!!
 
Huyo jamaa ako ameacha kusifia na kuwabandua mashost zako??

Je wife wake kampa talaka?

Kaacha kukuponda ponda?

Asee Kazi kweli kweli.
 
Moyo sukuma damu......hiyo kitu inaitwa infatuation.....inawezekana wala isiwe mapenzi kama unavyofikir... relax, cool down, usimsingizie shetani na usiongee wala kuwaza maneno mengi, tulia na nyamaza kama alikua wako atarudi na kama sio wako anaweza kurud na kuondoka tena
 
Unachokitafuta utakipata iam sure utakipata we endelea kukumbatia zinga la nyuki.
 
Back
Top Bottom