Mrejesho: Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tanzania

Pole kwa mshangao mkuu: ndo maoni
 
Hujielewi wala hujutii makosa yako
 
Kwa hiyo bado una plan ya kuchepuka....Dah nyie ndo mnatufanya tusiingie kwenye ndoa. Mungu akusamehe dhambi yako unayo fikiria kuendeleza
 
Mi nafikiri huyu hajielewi ana taka nini na mshika mawili moja humponyoka
 
Mtu mbinafsi. Mkorea akitaka kuendelea utaendelea kwa siri. Si useme ntawaeleza wao ni wake wenza na hutaki kumuacha mmoja wao kwa sababu unazojua wewe, ili wachague kuendelea na wewe au wakuache wote.
 
Hujatuabisha watanzania umesababisha hasara kwa taifa kwa kutengeneza single parent family nyingine wakati tayari ilikuwa haipo kwenye mahesabu ukizingatia changamoto zote za kijamii na za kiuchumi.
 
Hujielewi wala hujutii makosa yako
Wadau sifurahii kuendelea kufanya uovu, bali kuna wakati kosa hurekebishwa na kosa ili kuzuia madhara makubwa. Hiyo falsafa ya "Utilitarianism". Inawezekana kabisa ukatumia ovu kuepusha balaa kubwa.
Kwa hiyo bado una plan ya kuchepuka....Dah nyie ndo mnatufanya tusiingie kwenye ndoa. Mungu akusamehe dhambi yako unayo fikiria kuendeleza

Mi nafikiri huyu hajielewi ana taka nini na mshika mawili moja humponyoka
 
Wadau sifurahii kuendelea kufanya uovu, bali kuna wakati kosa hurekebishwa na kosa ili kuzuia madhara makubwa. Hiyo falsafa ya "Utilitarianism". Inawezekana kabisa ukatumia ovu kuepusha balaa kubwa.
Acha kujitetea eti kosa linarekebishiwa na kosa . Unaiabisha maana ya Ndoa
 
Acha kujitetea eti kosa linarekebishiwa na kosa . Unaiabisha maana ya Ndoa
Mkuu kama umegusa kidogo mambo ya ethics kuna nadharia tatu (school of thoughts) kwa muhutasari ni kama ifuatavyo:
1. Teleological school of thought. Nadharia inayoamini kwenye matokeo ya kitendo wala si kitendo chenye. Nadhani hii inakubali kutumia uovu ili kuepusha balaa, au janga kubwa, mfano mama aliyejifungua kwa upasuaji bahati mbaya akapata ujauzito miezi mitatu baada ya kujifungua matabibu wanaweza kumshauri kufanya abortion. Katika hali kama hii abortion ni kosa lakini inakubalika ili kuokoa maisha ya mama. Kumbuka hata Paulo alimshauri Timotheo atumie mvinyo kwa ajili tumbo na maradhi mengine.
2. Deontology school of thought. Hapa watu wanakuwa kitendo ni kizuri tu iwapo chenyewe ni cha kimaadili. Matokeo mazuri hayawezi kuhalalisha kitendo kiovu. Abortion will itabaki kuwa ni kosa hata inaokoa maisha ya mtu. Huu ni mtazamo wa watu wadini Emmanuel Kanti.
3. Virtue Ethics. Kitendo cha mtu kipimwe na tabia ya mtu. Mtu mwovu siku zote hutenda maovu. Mtu mwema siku zote huwaza na kutenda mema. Unapotaka kuamua kwamba mtu kafanya ovu lazima tuangalie na mwenendo wake.
Kwa sijitetei ila mtu akitaka kunihukumu tafadhali azingatie hizo falsafa hapo juu.
 
Wewe ni mbinafsi tena sana . Muache mkeo aendelee na maisha yake na wewe uendelee na mkorea wako. Hujielewi na hujutii kosa Lako. Kufanya kosa si kosa kurudia kosa ndio kosa . Acha kujidanganya na kujifariji na hiyo dhambi yako unayotaka kuiendeleza kisirisiri . Huna hata cha mtu mwema , ni muuwaji tuu wewe. Na hujui maana ya msamaha .
 



Nihau Nigga!
 

Mkuu hiyo unnie ina apply kwenye undugu na urafiki wa kawaida lakini hapo weshafikia hatua ya kuitana YOBHO mpenzi
 
naona unataka kuishi kwa mashaka, maisha yako yote.....! Wala usijaribu kufanya hayo maamuzi . otherwise utapungua uzito kila siku
 
Mkuu hiyo unnie ina apply kwenye undugu na urafiki wa kawaida lakini hapo weshafikia hatua ya kuitana YOBHO mpenzi
kumbe na wewe unaangaliaga zile drama zao? Yaan nazipendaje loh bas tu mda ndo unanibana
 
Soma vizuri mkuu wife nitamwambia A -Z, ila kwa mkorea lazima nimwambie kwa ni siri, ili isije akaanza kutaka kujiachia. Najua hilo sharti kwako ni gumu sana wala hawezi kulikubali.
acha utoto unaficha nyama moto kuichoma wap? Kuwa muwazi uwe huru! Coz kuna siku mkorea atakuhitaji usiku mfano mtoto anaumwa atakupigia cm vip hapo hutopokea? Mtu mwenyewe mgeni hata sokon atapata shida kwenda wewe ndo unataka umuweke mafichoni? Anyway yakikufika kooni mlete kwangu nikusaidie kumficha kwa mda wakati unajiandaa kusema ukweli!
 
Sio mitihani, ni upumbavu wa wanaume wakiwakilishwa na mtoa uzi. Unapotake risk ujue lolote linatokea, ametake risk mwenyewe mtihani gani wa maisha hakujijua ameoa?
Yan katka falaaaaaa walio kwa hiii dunia,www n no 1 huna tofaut na,churaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…