Mrejesho: Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tanzania

Kuna kitu kinanishangaza kidogo.
Hivi kama mtu anashea yalio msibu na pengine amekiri kukosea, na hajaomba huruma ya wachangiaji, zaidi anaomba kushauriwa kwa kilicho msibu. Kuna haja gani ya kumuona mleta uzi kana kwamba ni mdhambi kana kwamba wewe unae msema u-mkamilifu...!?
Anyway...
Matukio yanayo jiri humu sio lazima yawe na mtazama kwa namna ya positive kwa kila msomaji/mchangiaji.
Pengine kupitia matukio haya tunajikuta tunapata mafunzo kupitia makosa ya wengine.
So....
Hakuna haja ya wewe unae changia kuonyesha hasira zako kwa mleta uzi, zaidi ya hapo sisi wengine tutapata ya kujiuliza, kulikoni hasira zote hizo kwa mleta uzi!?
Ebu ngoja niishie hapa kwanza niheme mie...
Pole kwa mshangao mkuu: ndo maoni
 
Wadau,

kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali:
Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda.

Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru wana JF wote waliochangia kwani michango yao hata kama ilikuwa ni hasi kwangu imenipa fundisho kubwa sana.

Wapo waliobeza kwamba hiyo ni stori ya kutunga kuna wakati mimi nikilala na kutamani kwamba nikiamka hilo swala ligeuke kuwa ni ndoto lakini haikuwahi kuwa hivyo na hakkika haitakuja kuwa hivyo.

Kuna wengine walioniona kwamba simpendi mke wangu ukweli ni kwamba nampenda sana mke wangu hilo limetokea si kwa kukusudia bali ni uzembe uliotokana na kutokuwa mwangalifu. Mtu aliye kaa Korea anajua kabisa wanawake wa Kikorea si rahisi kuwa na mahusiano na wageni hasa ngozi nyeusi, kwa kujua vile ukaribu na mchepuko huyu nilijua kabisa haututafika popote zaidi ya kuwa academic partiners.

Ghafla bin vuu tulijikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, ilikuwa ni siku moja tu lakini tukajikuta tumejenga mazoea. Pamoja na kuingia kwenye mapenzi akili yangu siku zote ilikuwa inajua kuwa uhusiano huu ni wa muda kulingana na utofauti wa rangi zetu. Pasipo kujua mwenzangu akawa amekolea, nilikuja kugundua baadaye sana nami akawa taratibu kaingia moyoni, nikawa naogopa kumwambia asije akaumia nikamwona mbele yangu, kwa jinsi alivyokuwa amejitoa kwangu sikupenda kumuona akiwa na maumivu.

Michango ya wadau mbalimbali imenifanya ning'amue mambo yafuatayo:

1. Kwamba kosa nilililolifanya ni aibu si kwangu tu bali ni kwa watanzania wote.

2. Kwamba kitendo cha kutokuweka wazi hali yangu ya kindoa ndiyo kimesababisha matatizo yote haya.

3. Kwamba iwapo nitakurupuka na kuweka wazi swala la kuachana naye nikiwa kwenye ardhi ya Korea kuna hatari ya kushindwa kutoka salama.

4. Kwamba mkorea anaweza kujidhuru iwapo nitamtoroka nikiwa nimemwachia ujauzito hii inaweza kupelekea mimi kupata laana au pengine familia wakaamua kulifuatilia hilo swala.

5. Kwamba mkorea hawezi kuishi kwa amani akiwa na mtoto aliyezaa na ngozi nyeusi na mwanangu anaweza kuwa na maisha magumu sana.

6. Kwamba nitafanya makosa sana iwapo nitaachana na mke wangu kwa sababu ya mkorea.

Maamuzi:
Kutokana na mambo yaliyoainishwa hapo juu nimeamua yafuatayo:

a. Sitamweleza mkorea mpaka nimefika Tz kwa hiyo nitakuja naye Tz tukifika nitampangia nyumba mbali na familia yangu ilipo. Nitatafuta siku maalum ya kumweleza na nitamweleza kwamba sikuwahi kukuambia kwa sababu ya mapenzi niliyonayo kwako na nilihofia ningelikwambia usingekubali kuwa nami wala usingelikubali kuja Tz. Najua kwa wivu alionao atachachamaa na pengine atataka kurudi kwao. Vurugu zote atakazofanya mimi nitakuwa salama kwa sababu nitakuwa nipo uwanja wa nyumbani " home grounds"

b. Familia yangu sitaiambia tarehe sahihi ya kurejea ili niweze kukamilisha shughuli za kumhifadhi mkorea. Pia kama ni zawadi za mke wangu na watoto naweza kuzinunua hata Kariakoo.

c. Kuanzia sasa nitajitahidi kuweka wazi kwamba nimeoa ili kuepusha mahusiano yasiwe rasmi.

d. Baada ya kumweleza Mkorea nitamweleza na mke wangu, maana nitakuwa nimepata respond ya mkorea. Nitamwangukia mke wangu anisamehe kwa aibu niliyosababisha. Mkorea akitaka kuendelea nami nitamwambia kwamba tufanye siri mana mimi mume wa mtu vinginevyo anaweza kuingia kwenye matatizo ya kuingilia ndoa.

e. Iwapo ataamua kubaki Tz nitamfanyia mpango wa kupata uraia na pia kumshauri afungue mradi wa kuzalisha pesa ili aweze kujiingizia kipato.

f. Naomba msamaha kwa watanzania wote fedheha niliyoisababisha kwenu.

Uamuzi huu nimefikia baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali wapo waliokuja mpaka inbox na kunishauri. Nimezingatia ukweli usemao kwamba;

"Akili za kuambiwa changanya na za kwako." Sitalaumu mtu kwa yatakayonipata, mamuzi ni yangu.
Hujielewi wala hujutii makosa yako
 
Kwa hiyo bado una plan ya kuchepuka....Dah nyie ndo mnatufanya tusiingie kwenye ndoa. Mungu akusamehe dhambi yako unayo fikiria kuendeleza
 
Pale mtoa mada uliposema utamwambia mkorea kwa uwazi kuwa una mke na watoto mkifika bongo, na kuwa kama mkorea atakubali mfanye uhusiano wenu iwe siri, hivi ulichokifanya nje ya nchi (kuisaliti ndoa yako) na hicho utakachoendelea kukifanya kwa siri iwapo mkorea atakubali kina tofauti gani!!?

Vaa viatu vya mkeo kwanza, unategemea mtoto na mkorea , kisha utafunguka kwa mkeo kwamba unajutia ulichokifanya na kumuomba akusamehe, mke anaweza kukusamehe na ndicho tunachoomba. Je hicho cha kuendelea kuwa na mkorea kwa siri nacho mkeo akikigundua akusamehe....au una mpango kumuumiza mkeo mara ngapi?
Mi nafikiri huyu hajielewi ana taka nini na mshika mawili moja humponyoka
 
Mtu mbinafsi. Mkorea akitaka kuendelea utaendelea kwa siri. Si useme ntawaeleza wao ni wake wenza na hutaki kumuacha mmoja wao kwa sababu unazojua wewe, ili wachague kuendelea na wewe au wakuache wote.
 
Hujatuabisha watanzania umesababisha hasara kwa taifa kwa kutengeneza single parent family nyingine wakati tayari ilikuwa haipo kwenye mahesabu ukizingatia changamoto zote za kijamii na za kiuchumi.
 
Hujielewi wala hujutii makosa yako
Wadau sifurahii kuendelea kufanya uovu, bali kuna wakati kosa hurekebishwa na kosa ili kuzuia madhara makubwa. Hiyo falsafa ya "Utilitarianism". Inawezekana kabisa ukatumia ovu kuepusha balaa kubwa.
Kwa hiyo bado una plan ya kuchepuka....Dah nyie ndo mnatufanya tusiingie kwenye ndoa. Mungu akusamehe dhambi yako unayo fikiria kuendeleza

Mi nafikiri huyu hajielewi ana taka nini na mshika mawili moja humponyoka
 
Wadau sifurahii kuendelea kufanya uovu, bali kuna wakati kosa hurekebishwa na kosa ili kuzuia madhara makubwa. Hiyo falsafa ya "Utilitarianism". Inawezekana kabisa ukatumia ovu kuepusha balaa kubwa.
Acha kujitetea eti kosa linarekebishiwa na kosa . Unaiabisha maana ya Ndoa
 
Mkuu kama umegusa kidogo mambo ya ethics kuna nadharia tatu (school of thoughts) kwa muhutasari ni kama ifuatavyo:
1. Teleological school of thought. Nadharia inayoamini kwenye matokeo ya kitendo wala si kitendo chenye. Nadhani hii inakubali kutumia uovu ili kuepusha balaa, au janga kubwa, mfano mama aliyejifungua kwa upasuaji bahati mbaya akapata ujauzito miezi mitatu baada ya kujifungua matabibu wanaweza kumshauri kufanya abortion. Katika hali kama hii abortion ni kosa lakini inakubalika ili kuokoa maisha ya mama. Kumbuka hata Paulo alimshauri Timotheo atumie mvinyo kwa ajili tumbo na maradhi mengine.
2. Deontology school of thought. Hapa watu wanakuwa kitendo ni kizuri tu iwapo chenyewe ni cha kimaadili. Matokeo mazuri hayawezi kuhalalisha kitendo kiovu. Abortion will itabaki kuwa ni kosa hata inaokoa maisha ya mtu. Huu ni mtazamo wa watu wadini Emmanuel Kanti.
3. Virtue Ethics. Kitendo cha mtu kipimwe na tabia ya mtu. Mtu mwovu siku zote hutenda maovu. Mtu mwema siku zote huwaza na kutenda mema. Unapotaka kuamua kwamba mtu kafanya ovu lazima tuangalie na mwenendo wake.
Kwa sijitetei ila mtu akitaka kunihukumu tafadhali azingatie hizo falsafa hapo juu.
 
Wewe ni mbinafsi tena sana . Muache mkeo aendelee na maisha yake na wewe uendelee na mkorea wako. Hujielewi na hujutii kosa Lako. Kufanya kosa si kosa kurudia kosa ndio kosa . Acha kujidanganya na kujifariji na hiyo dhambi yako unayotaka kuiendeleza kisirisiri . Huna hata cha mtu mwema , ni muuwaji tuu wewe. Na hujui maana ya msamaha .
 
Wadau,

kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali:
Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda.

Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru wana JF wote waliochangia kwani michango yao hata kama ilikuwa ni hasi kwangu imenipa fundisho kubwa sana.

Wapo waliobeza kwamba hiyo ni stori ya kutunga kuna wakati mimi nikilala na kutamani kwamba nikiamka hilo swala ligeuke kuwa ni ndoto lakini haikuwahi kuwa hivyo na hakkika haitakuja kuwa hivyo.

Kuna wengine walioniona kwamba simpendi mke wangu ukweli ni kwamba nampenda sana mke wangu hilo limetokea si kwa kukusudia bali ni uzembe uliotokana na kutokuwa mwangalifu. Mtu aliye kaa Korea anajua kabisa wanawake wa Kikorea si rahisi kuwa na mahusiano na wageni hasa ngozi nyeusi, kwa kujua vile ukaribu na mchepuko huyu nilijua kabisa haututafika popote zaidi
Wadau,

kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali:
Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda.

Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru wana JF wote waliochangia kwani michango yao hata kama ilikuwa ni hasi kwangu imenipa fundisho kubwa sana.

Wapo waliobeza kwamba hiyo ni stori ya kutunga kuna wakati mimi nikilala na kutamani kwamba nikiamka hilo swala ligeuke kuwa ni ndoto lakini haikuwahi kuwa hivyo na hakkika haitakuja kuwa hivyo.

Kuna wengine walioniona kwamba simpendi mke wangu ukweli ni kwamba nampenda sana mke wangu hilo limetokea si kwa kukusudia bali ni uzembe uliotokana na kutokuwa mwangalifu. Mtu aliye kaa Korea anajua kabisa wanawake wa Kikorea si rahisi kuwa na mahusiano na wageni hasa ngozi nyeusi, kwa kujua vile ukaribu na mchepuko huyu nilijua kabisa haututafika popote zaidi ya kuwa academic partiners.

Ghafla bin vuu tulijikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, ilikuwa ni siku moja tu lakini tukajikuta tumejenga mazoea. Pamoja na kuingia kwenye mapenzi akili yangu siku zote ilikuwa inajua kuwa uhusiano huu ni wa muda kulingana na utofauti wa rangi zetu. Pasipo kujua mwenzangu akawa amekolea, nilikuja kugundua baadaye sana nami akawa taratibu kaingia moyoni, nikawa naogopa kumwambia asije akaumia nikamwona mbele yangu, kwa jinsi alivyokuwa amejitoa kwangu sikupenda kumuona akiwa na maumivu.

Michango ya wadau mbalimbali imenifanya ning'amue mambo yafuatayo:

1. Kwamba kosa nilililolifanya ni aibu si kwangu tu bali ni kwa watanzania wote.

2. Kwamba kitendo cha kutokuweka wazi hali yangu ya kindoa ndiyo kimesababisha matatizo yote haya.

3. Kwamba iwapo nitakurupuka na kuweka wazi swala la kuachana naye nikiwa kwenye ardhi ya Korea kuna hatari ya kushindwa kutoka salama.

4. Kwamba mkorea anaweza kujidhuru iwapo nitamtoroka nikiwa nimemwachia ujauzito hii inaweza kupelekea mimi kupata laana au pengine familia wakaamua kulifuatilia hilo swala.

5. Kwamba mkorea hawezi kuishi kwa amani akiwa na mtoto aliyezaa na ngozi nyeusi na mwanangu anaweza kuwa na maisha magumu sana.

6. Kwamba nitafanya makosa sana iwapo nitaachana na mke wangu kwa sababu ya mkorea.

Maamuzi:
Kutokana na mambo yaliyoainishwa hapo juu nimeamua yafuatayo:

a. Sitamweleza mkorea mpaka nimefika Tz kwa hiyo nitakuja naye Tz tukifika nitampangia nyumba mbali na familia yangu ilipo. Nitatafuta siku maalum ya kumweleza na nitamweleza kwamba sikuwahi kukuambia kwa sababu ya mapenzi niliyonayo kwako na nilihofia ningelikwambia usingekubali kuwa nami wala usingelikubali kuja Tz. Najua kwa wivu alionao atachachamaa na pengine atataka kurudi kwao. Vurugu zote atakazofanya mimi nitakuwa salama kwa sababu nitakuwa nipo uwanja wa nyumbani " home grounds"

b. Familia yangu sitaiambia tarehe sahihi ya kurejea ili niweze kukamilisha shughuli za kumhifadhi mkorea. Pia kama ni zawadi za mke wangu na watoto naweza kuzinunua hata Kariakoo.

c. Kuanzia sasa nitajitahidi kuweka wazi kwamba nimeoa ili kuepusha mahusiano yasiwe rasmi.

d. Baada ya kumweleza Mkorea nitamweleza na mke wangu, maana nitakuwa nimepata respond ya mkorea. Nitamwangukia mke wangu anisamehe kwa aibu niliyosababisha. Mkorea akitaka kuendelea nami nitamwambia kwamba tufanye siri mana mimi mume wa mtu vinginevyo anaweza kuingia kwenye matatizo ya kuingilia ndoa.

e. Iwapo ataamua kubaki Tz nitamfanyia mpango wa kupata uraia na pia kumshauri afungue mradi wa kuzalisha pesa ili aweze kujiingizia kipato.

f. Naomba msamaha kwa watanzania wote fedheha niliyoisababisha kwenu.

Uamuzi huu nimefikia baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali wapo waliokuja mpaka inbox na kunishauri. Nimezingatia ukweli usemao kwamba;

"Akili za kuambiwa changanya na za kwako." Sitalaumu mtu kwa yatakayonipata, mamuzi ni yangu.

ya kuwa academic partiners.

Nihau Nigga!
 
Opaaaaaaaaa! Kwan kuna shida gani? Si umeamua wewe? Si uko above 18? Si mambo yalishatokea? Sasa shida iko wap?? Mlete unnie tena acha ujinga utamficha mpaka lini? Weka mambo wazi! Unavyosema kuwa akiamua kubaki tz iwe siri una maana gani? Hutoenda kulala kwake? Au utakuwa unadanganya umesafiri? Sasa utadanganya mpaka lini? Da angekuwa mkurya angaisha piga siku kuwa anakuja na numberless. Anyway fata moyo wako.

Mkuu hiyo unnie ina apply kwenye undugu na urafiki wa kawaida lakini hapo weshafikia hatua ya kuitana YOBHO mpenzi
 
naona unataka kuishi kwa mashaka, maisha yako yote.....! Wala usijaribu kufanya hayo maamuzi . otherwise utapungua uzito kila siku
 
Mkuu hiyo unnie ina apply kwenye undugu na urafiki wa kawaida lakini hapo weshafikia hatua ya kuitana YOBHO mpenzi
kumbe na wewe unaangaliaga zile drama zao? Yaan nazipendaje loh bas tu mda ndo unanibana
 
Soma vizuri mkuu wife nitamwambia A -Z, ila kwa mkorea lazima nimwambie kwa ni siri, ili isije akaanza kutaka kujiachia. Najua hilo sharti kwako ni gumu sana wala hawezi kulikubali.
acha utoto unaficha nyama moto kuichoma wap? Kuwa muwazi uwe huru! Coz kuna siku mkorea atakuhitaji usiku mfano mtoto anaumwa atakupigia cm vip hapo hutopokea? Mtu mwenyewe mgeni hata sokon atapata shida kwenda wewe ndo unataka umuweke mafichoni? Anyway yakikufika kooni mlete kwangu nikusaidie kumficha kwa mda wakati unajiandaa kusema ukweli!
 
Sio mitihani, ni upumbavu wa wanaume wakiwakilishwa na mtoa uzi. Unapotake risk ujue lolote linatokea, ametake risk mwenyewe mtihani gani wa maisha hakujijua ameoa?
Yan katka falaaaaaa walio kwa hiii dunia,www n no 1 huna tofaut na,churaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom