lavian
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 722
- 329
Aahhh nimekupata kama ye alifanya makosa mkaushie2 maake ukijipelekapeleka hajaomba msamaha atakuchukulia poa zaidiBaada ya mwezi kupita mimi na wife tukiwa tumetengana nilipigiwa simu na Afande flan mwenye cheo cha Inspector na kuniomba nifike Kesho yake saa nne hasubui, bila kuchelewa nilifika kumbe wife alikuwa amenishitaki katika dawati la jinsia. Walitusuluhisha then wakaomba nimrudishe wife nyumban, nam nilikubaliana nao na sasa kurudi. Ila sasa ni wiki sasa katu hatuongei pamoja, tuko kitanda kimoja hatuongei, hanifungulii mlango nikirud anaegeshea tu, pili chakula nakikuta chumban kwenye hotpot lkn sikigus kutokana na kushituka, najiuliza baada ya kuja akiwa mpole yeye ndo kaongeza kabisa ukali wa kukaa kimya, nam nimeamua kukaa kimya tuone mshindi ni nan.
Na usiombe mwanamke akuchukulie poa