Mrejesho: Harusi ipo pale pale, ila nabadilisha bibi harusi

hongera sana kiongozi. Mungu abariki ndoa yako. salimia shemeji yetu amecheza vizuri kete yake.
Yah,alicheza vizuri nafasi yake kama mwanadamu lazma ujue kurusha kete ya ubinadamu vizuri ndipo utaweza kula,mambo ya chako chako changu chako mabaya sana,hongera yake bidada Mungu ampe nusu nusu anipe mimi niangaike nayo.
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kusaidiwa/kusaidia ndio kigezo mahususi ya kuoana, basi sawa kila la heri ktk ndoa yenu
 
VIP sasa yule binti aliolewa au bado yupo Tu.
Anaishi na mtu ile wanaita sogea tukae, bila ndoa, lengo Lake lilikua ni kuni pre empty mm kabla sijafunga ndoa yeye na huyo jamaa wafunge kabla yangu, inavyoonekana huyo jamaa hakukubali sababu wamekaa Muda mfupi
Hivyo hadi sasa wanaishi pamoja, anapiga nae mapicha kibao na kutupa mitandaoni kuwa "eti kumbe mwanzo nilikua nimepotea sasa hivi ndio nimefika" na msg nyingi za namna hiyo, lakini nje ya hapo akawa ananipigia simu kunibembeleza turudiane,

Baada ya mm kufunga ndoa akaunti yake ya insta imekua dormant karibu mwezi na kitu sasa sijui amepatwa na nini
Na pia sijui bado Anaishi na huyo jamaa au la
 
Potezea mbali huyo, ibilisi la kike, mwache ahangaike
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kusaidiwa/kusaidia ndio kigezo mahususi ya kuoana, basi sawa kila la heri ktk ndoa yenu
Mmh Kakole seriously mama ako yupo on her sickbed, chochote chaweza tokea asipotibiwa ndani ya siku 2. Afu mpenzi wako Kukuazimisha hela mama mkwe wake atibiwe amegoma??? (walikuwa wanasubiri ndoa tu hapo). Seriously utaacha mama wa mwenzio afariki huku hela unazo eti umeweka kibubu cha kununulia gari??? Thamani ya maisha ya mtu ni kubwa sana. Rafiki tu tunawasaidia, sembuse mumeo mtarajiwa. Afu it was a matter of life and death, kuacha mtu afe while unaweza kumsaidia inahitaji roho ngumu mnooo. Hata mimi mpenzi wa hivyo lazima nimuogope, kesho yatanifika afu ataacha nife ili tu mipango yake isiharibike.
 
Napenda niwapongeze Kwa kufunga ndoa. Jambo la msingi ni kuhakikisha NDOA yenu inakuwa ndoa darasa kwa wengine.

Kingine kikubwa jitahidini kadri uwezavyo "Binti" wa watu ajisikie "fahari" kuolewa na wewe na usiwe sababu ya yeye kukosa "furaha & amani"

YOTE yakafanikiwe ktk yeye alie juu.
 
changu chako, chako chako peke yako.....hawa wadudu tuwaheshimu tuu kama mama zetu, dada zetu, bibi zetu na mashangazi pia.......ila wachache wanaojielewa.......hongera mkuu..
 
Mmh Kakole seriously mama ako yupo on her sickbed, chochote chaweza tokea asipotibiwa ndani ya siku 2. Afu mpenzi wako Kukuazimisha hela mama mkwe wake atibiwe amegoma??? (walikuwa wanasubiri ndoa tu hapo). Seriously utaacha mama wa mwenzio afariki huku hela unazo eti umeweka kibubu cha kununulia gari??? Thamani ya maisha ya mtu ni kubwa sana. Rafiki tu tunawasaidia, sembuse mumeo mtarajiwa. Afu it was a matter of life and death, kuacha mtu afe while unaweza kumsaidia inahitaji roho ngumu mnooo. Hata mimi mpenzi wa hivyo lazima nimuogope, kesho yatanifika afu ataacha nife ili tu mipango yake isiharibike.
Sikatai maamuzi aliyoyachukua ya kumuacha huyo mchumba wa mwanzo, binafsi naona yupo right lkn factor ya kumuoa huyo mwingine isiwe tu kwa sababu ya kutoa msaada bali kuwepo na upendo wa kweli ndani mwake, nahisi huyo alieolewa akisikia hivyo hatojisikia vzr maana yeye hakutoa msaada kwa nia ya kuolewa, inamaana msaada ukikosekana tena in future ndoa italegelega sio? maana naweza kusema kuwa kwa sasa imeshikiliwa na nguvu ya msaada na sio unconditional love tena, maana ukisoma thread ya huyu muungwana inaonesha alikuwa na huyu binti aliyemuoa kazin mda mrefu kuliko mchumba aliyeachwa, sasa unataka kusema kipindi chote hicho hakumuona? tufikiri nje ya box kidogo.
 
naukumbuka sana ule uzi. Hongera mkuu. Hayo ndo maamuzi ya kiume. huyo dada mwache akaisome namba, naamini atajifunza akiingia kwenye mahusiano mengine.
 
Sikatai maamuzi aliyoyachukua ya kumuacha huyo mchumba wa mwanzo, binafsi naona yupo right lkn factor ya kumuoa huyo mwingine isiwe tu kwa sababu ya kutoa msaada bali kuwepo na upendo wa kweli ndani mwake, nahisi huyo alieolewa akisikia hivyo hatojisikia vzr maana yeye hakutoa msaada kwa nia ya kuolewa, inamaana msaada ukikosekana tena in future ndoa italegelega sio? maana naweza kusema kuwa kwa sasa imeshikiliwa na nguvu ya msaada na sio unconditional love.
Aaah hapo nimekuelewa. But kwa muda wote huo waliokaa kwenye uchumba nafikiri they have learnt to grow in love, nguvu ya msaada ishaisha otherwise wangekuwa washabwaga manyanga. I guess ule msaada ndo ulikuwa mlango wa wao kuanza mahusiano yao.

Mpendwa tunasemaga tu " i love you unconditionally. But in the real sense, unconditional love sana sana ipo kwa mzazi na mtoto (especially kwa mama na mtoto, no matter what mtoto atafanya, mama kumkana mtoto wake ni kazi sana). Lakini sisi wapenzi tunapendana kwa conditions, lazima ubehave na mimi, treat me well, sijui don't lie, respect me, uwe hivi na vile blah blah blah. Ndo maana hata tunakuwa na vigezo vichwani mwetu vya aina ya wapenzi tunaowataka.
 
Asante kwa kunielewa, maana mwanzoni uliongozwa na hisia zaidi mpendwa, but all in all binafsi sitaki msaada uwe kigezo cha mtu kunikubali, upendo uwepo/utangulie ndio kigezo cha msaada baadae.
 
Asante kwa kunielewa, maana mwanzoni uliongozwa na hisia zaidi mpendwa, but all in all binafsi sitaki msaada uwe kigezo cha mtu kunikubali(niwe chaguo lake kweli) upendo uwepo/utangulie ndio kigezo cha msaada baadae.
Nimekuelewa vizuri sana
 
Back
Top Bottom