Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,

Mrejesho.
Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi,

Nimeamka Asubuhi mapema nikajiandaa, nikamkumbusha mwenzangu akajianda pia nikakodi bajaji hao mpaka zahanati,

Tulikuta foreni kubwa tu,pia tulikuta na wenzetu pia ndio wamekuja kuanza clinic kama sisi,

Of course kabla ya yote tulipewa darasa zuri sana, la mama na mtoto aliyetumboni, jinsi ya kumuhudumia, vitu muhimu wakati wa kujifungua,dalili, vyakula kwa mama mjamzito na N.K

Kwa kweli somo lilikuwa zuri, baada ya hapo tukaanza kujiandikisha ili kuanza Huduma,
Wale wenza waliokuja kama pair, mume na mke ndio wanaopewa kipaombele kwanza then hao waliokuja wenyewe bila waume ndio wanafatia

"hapa niweke wazi imeniuma sana, sisi wanaume ni watu wa Ajabu sana, hamuwezi Amini kati ya wote walioenda kufungua kadi zao ni mimi peke yangu ndio mwanaume nilieenda na mwenza wangu"
Manesi walishangaa na kunipa Ongera ya kumsindikiza mwenzangu, na ndio nilikuwa mfano leo kwa wengine.

Muda wa vipimo vikawadia, tukatolewa damu kwa ajiri ya kipimo cha HIV aisee hamuwezi amini moyo ulikuwa mweupe na kujisemea chochote kitakachotokea ni sawa, niwe na Ukimwi sawa, nisiwe nao sawa huku moyoni nikisali sali mwenyezi Mungu aniepushie mbali,

Wakulungwa baada ya kuchukuliwa sample ndio hofu sasa ikaanza kunijaa, nikakumbuka mademu wengi niliowachakata, na kuwahisi hivi kweli yule alikuwa safe, flani na flani kweli hawajanipa Ukimwi,
Nilikuwa na Hofu kweli kweli,

Muda wa kupokea majibu ukafika aisee sikuamini Nesi alivyotupa Ongera na kusema mko salama mjitahidi tu kujilinda na viushauri kadhaa kadhaa,

Aiseee siamini mpaka sasa wazee, kuna vyuma kibao nilipitaga navyo na tetesi kitaa sinasema waliungua, kuna malaya kibao nilipita nao na uhakika hawakuwa safe,

Lakini leo nimepima nimejikuta niko salama salmini, hakika siamini mpaka sasa,
Nasubiri miezi mitatu mingine nikarudie kipimo.

Nb.
Ndugu zangu tujitahidi kuwasindikiza wake/wenza wetu clinic,
Ata kama tumebanwa sana na majukumu tujitahidi kutenga muda ni jambo la masaa tu,
Huwa wanakuwa wapweke, kama vile wametengwa wanapokuwa wenyewe pale clinic.
Tujitahidi sana.

Cc Zero IQ

Pia soma: Kesho nampeleka mwenza wangu Clinic, vitu gani vya kuzingatia?
 
Mkuu una hakika mimba ni yako?
Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,

Mrejesho.
Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi,

Nimeamka Asubuhi mapema nikajiandaa, nikamkumbusha mwenzangu akajianda pia nikakodi bajaji hao mpaka zahanati,

Tulikuta foreni kubwa tu,pia tulikuta na wenzetu pia ndio wamekuja kuanza clinic kama sisi,

Of course kabla ya yote tulipewa darasa zuri sana, la mama na mtoto aliyetumboni, jinsi ya kumuhudumia, vitu muhimu wakati wa kujifungua,dalili, vyakula kwa mama mjamzito na N.K

Kwa kweli somo lilikuwa zuri, baada ya hapo tukaanza kujiandikisha ili kuanza Huduma,
Wale wenza waliokuja kama pair, mume na mke ndio wanaopewa kipaombele kwanza then hao waliokuja wenyewe bila waume ndio wanafatia

"hapa niweke wazi imeniuma sana, sisi wanaume ni watu wa Ajabu sana, hamuwezi Amini kati ya wote walioenda kufungua kadi zao ni mimi peke yangu ndio mwanaume nilieenda na mwenza wangu"
Manesi walishangaa na kunipa Ongera ya kumsindikiza mwenzangu, na ndio nilikuwa mfano leo kwa wengine.

Muda wa vipimo vikawadia, tukatolewa damu kwa ajiri ya kipimo cha HIV aisee hamuwezi amini moyo ulikuwa mweupe na kujisemea chochote kitakachotokea ni sawa, niwe na Ukimwi sawa, nisiwe nao sawa huku moyoni nikisali sali mwenyezi mungu aniepushie mbali,

Wakulungwa baada ya kuchukuliwa sample ndio hofu sasa ikaanza kunijaa, nikakumbuka mademu wengi niliowachakata, na kuwahisi hivi kweli yule alikuwa safe, flani na flani kweli hawajanipa Ukimwi,
Nilikuwa na Hofu kweli kweli,

Muda wa kupokea majibu ukafika aisee sikuamini Nesi alivyotupa Ongera na kusema mko salama mjitahidi tu kujilinda na viushauri kadhaa kadhaa,

Aiseee siamini mpaka sasa wazee, kuna vyuma kibao nilipitaga navyo na tetesi kitaa sinasema waliungua, kuna malaya kibao nilipita nao na uhakika hawakuwa safe,

Lakini leo nimepima nimejikuta niko salama salmini, hakika siamini mpaka sasa,
Nasubiri miezi mitatu mingine nikarudie kipimo.

Nb.
Ndugu zangu tujitahidi kuwasindikiza wake/wenza wetu clinic,
Ata kama tumebanwa sana na majukumu tujitahidi kutenga muda ni jambo la masaa tu,
Huwa wanakuwa wapweke, kama vile wametengwa wanapokuwa wenyewe pale clinic.
Tujitahidi sana.

Cc Zero IQ

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Umecopi wapi hii story :cool: :cool: :cool:
 
Ndo utulie sasa mkuu, ukitoka tena unauvaa
 
Sio ushauri ni mtazamo tu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Nb.
Ndugu zangu tujitahidi kuwasindikiza wake/wenza wetu clinic,
Ata kama tumebanwa sana na majukumu tujitahidi kutenga muda ni jambo la masaa tu,
Huwa wanakuwa wapweke, kama vile wametengwa wanapokuwa wenyewe pale clinic.
Tujitahidi sana.

Ushauri huu
 
Back
Top Bottom