TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

Kama kuna moto huyu anaenda kuoga maana yeye na yule Makengeza Makoye walijiona ufahari sana kumiliki MAKU. Huyu kabla ya kifo katahabika sana mpaka akaomba msamaha kwa mkewe akahamia Kibaha kutoka Kimara. Kifupi alimtesa sana mkewe.
Kama kweli kuna moto basi na kitubu pia kupo. Usijeshangaa wewe ndio ukaenda kuuoga huo moto!
 
Mkuu tupo kwenye maombolezo ujue

Hata hivyo Kwa mujibu wa maandiko ya vitabu vya Dini, mwenye mamlaka ya kuhukumu ni mola wetu pekee

Huenda nyakati za kuugua kwake Kwa muda mrefu jamaa atakuwa alimrudia Mungu wake Kwa kufanya toba

Kwa maana tunaambiwa Mungu wetu ni mwingi wa rehema ambaye hutoa msamaha Kila tunapoenda kumlilia miguuni pake
Umenena vema mkuu
 
Laiti kama ange develop leaders kwenye taasisi yake huenda bado tungekuwa tunayasikia mashindano ya Miss Tanzania kwa mafanikio makubwa kama alivyoyatendea
Hii ilikuwa ni business ya wanaume wawili wakiwahudumua wasixhana wabichi. Wanaume hawa ndiyo huyo marehemu Lundenga na mkuu wake wa itifaki marehemu Albert Makoye. Kwa kuwa wote wamefariki, basi imekuwa an end of an era. Ila wameacha kumbukumbu ndanibya mioyo ya hao wasichana waliowahi kushiriki miss Tanznia ngazi ya taifa, majanga!!
 
Back
Top Bottom