Nchi hii haishi vituko.
Kuna kigogo mmoja wa Bunge, kawa dalali wa kampuni moja ya UAE anashinikiza jeshi la Polisi na wizara ya Mambo ya ndani kuingia katika mradi wa ubia wa dola milioni 700 unaohusu kuweka camera za usalama barabarani nchi nzima.
Gharama halisi ya mradi huu kwa upembuzi yakinifu uliofanywa mwaka 2021 ni dola 200 millioni. Kampuni ya UAE inataka iruhusiwe kufanya huu mradi ikiwa ni pamoja na kupewa government guarantee ikakope huko nje--na mradi huu unapaswa kufanyika kwa utaratibu wa PPP.
Jumla ya camera kwa nchi nzima na mifumo yake ni 1, 450--na hawa jamaa wanataka kuwapiga watanzania, wamepika hadi takwimu za makosa ya usalama bararani wanadai kwa siku ni wastani wa makosa 60,000 na kila kosa 30,000 shilingi. Upuuzi mtupu.