Mradi wa mabasi ya haraka BRT-UDAT wapewe akina Shabiby na Abood wauendeshe kwa faida

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,593
14,049
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
 
Tatizo kubwa lililopo kwenye huu Mradi nafikiri ni suala la ukosefu wa Management nzuri katika kuusimamia.
Negative effects of Communism/Socialism idealogy within the country.
 
Kwamba hakuna wazawa wa kuendesha huu mradi mpaka tukimbilie waarabu?
Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?

Hoja ya msingi ni kwamba wanatakiwa watafutwe watu sahihi watakaoweza kuuendesha mradi huo vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa wenye kuleta tija.
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color.
 
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color
 
Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?

Hoja ya msingi ni kwamba wanatakiwa watafutwe watu sahihi watakaoweza kuuendesha mradi huo vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa wenye kuleta tija.
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color.
Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Kweli Hawa watanganyika Wana uxoefu,Wana menejiment,Wana karakana,Wana fedha,wakipata faida wataireinvest na hakuna ubishi SCR itawaobsolete wao na wengine wapewe,wapewe
 
Back
Top Bottom