Mr Sugu, CCM ni nyumbani kwako kwa sasa, karibu sana

😄 🤣 😂 😆 😄 safari hii hamna mteremko mwizi tutamshtaki kwa Mungu kama tulivomshtaki jiwe.
Mungu ataingilia kati
we waza kuibiwa wakati wengineo wanafanya consultations na wanainchi wapate kura za za ushindi wa kishindo 🐒
 
2020 mlifanyq consultations vile vile akili xa misukule
huo ushirikina ni imani yako wengine hatuijui nini hiyo....

tumejipanga, tunaendelea kujipanga vizur zaid, hatubabaiki na kelele wala mipango ya wengine wala mipango yake hata kidogo 🐒

kwa CCM, lengo ni ushindi tena ushindi wa kishindo bila mbambamba yoyote 🐒
 
Kwa sasa Chama chako kiko katika wakati mgumu wa mgawanyiko wa nani kiwe upande wake.

Kuna timu Mwenyekiti, Lema and the Company, hawa wako na wasi wasi, na hawana imani tena na Timu Makamu na company yake ya Msigwa , John and the company.

Bahati mbaya kwako mate wangu Mr Sugu ni kwamba wewe kwenye hizo timubili hauko upande wowote, timu Mwenyekiti wako tayari kukuacha just kuungana na timu Makamu Mwenyekiti.

Kwa sasa Chadema kwao ni muhimu kuliko wewe, Sugu, sehemu salama kwako ni CCM, njoo tujenge Mbeya yetu, njoo tujenge Tanzania yetu.

Unajua kabisa lile dongo la rushwa kuwa kubwa sasa Chadema lilotolewa na Makamu Mwenyekiti ni lako.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan.
Hivi bado Kuna watu wenye akili timamu wanaiwaza ccm?
 
huo ushirikina ni imani yako wengine hatuijui nini hiyo....

tumejipanga, tunaendelea kujipanga vizur zaid, hatubabaiki na kelele wala mipango ya wengine wala mipango yake hata kidogo 🐒

kwa CCM, lengo ni ushindi tena ushindi wa kishindo bila mbambamba yoyote 🐒
Hahaaha Jiwe alidhulumu ushindi Mungu akaingilia kati sasa endeleeni kudanganya Mungu mtaona matokeo ya kumuudhi Muumba
 
Hahaaha Jiwe alidhulumu ushindi Mungu akaingilia kati sasa endeleeni kudanganya Mungu mtaona matokeo ya kumuudhi Muumba
ndio maana nasema huenda wew ni mshirikina 🐒

kuhubiri Habari za Mungu unababaika tu, kutisha au kujaza hofu watu kuhusu kazi za Mungu huwezi 🐒

ni afadhali gubu binafsi ulilonalo ambalo unatafuta wa kumlaumu nalo unatafuta namna nyingine kuiondoa nafsni mwako 🐒

sisi wengine tunachapa kazi ya wanainchi, ya chama na ya umma kwa Neema na Baraka za Mungu tu mwanadamu hawezi zuia au kutatiza utukufu wa Mungu kudhihirika kwa wanainchi 🐒
 
Back
Top Bottom