Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,563
Kwa sasa Chama chako kiko katika wakati mgumu wa mgawanyiko wa nani kiwe upande wake.
Kuna timu Mwenyekiti, Lema and the Company, hawa wako na wasi wasi, na hawana imani tena na Timu Makamu na company yake ya Msigwa , John and the company.
Bahati mbaya kwako mate wangu Mr Sugu ni kwamba wewe kwenye hizo timubili hauko upande wowote, timu Mwenyekiti wako tayari kukuacha just kuungana na timu Makamu Mwenyekiti.
Kwa sasa Chadema kwao ni muhimu kuliko wewe, Sugu, sehemu salama kwako ni CCM, njoo tujenge Mbeya yetu, njoo tujenge Tanzania yetu.
Unajua kabisa lile dongo la rushwa kuwa kubwa sasa Chadema lilotolewa na Makamu Mwenyekiti ni lako.
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan.