Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,626
- 32,058
jmushi1, si anataka kuwa kama akina Kaunda, Nyerere, Nkrumah hata kabla hajapitishwa na NEC.
Nimesoma tena na tena naona ameorodhesha matatizo ya Afrika na kidogo Tanzania, sijaona suluhu.
Kama ameweza kuongelea CUBA vipi Syria? Halafu ana moral authority gani ya kuongelea human right! haogopi hata mizimu kumfuata huko New York! Human right? Ipi ya Nchimbi na kamati za harusi, ya kova na Malundi, ya Kamuhanda!
Ile ni skeleton, did not see red meat in it!
Hapa ndipo tunawakumbuka akina Nyerere, Khama, Indira, Tito, Nasa, Mahathir n.k.
Yeye akikazana kujikwamua na kitanzi cha Radar, kile kitammaliza kabla hajavaa gloves.
Lile ni donda ndugu na ninadhani atazama nalo. Radar ndiyo kioo cha uadilifu wa Membe, hotuba ya UN ni pambio tu.