Mpenzi wangu hataki kufuta namba ya ex wake

Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
Umesema uligombana nae sana sana sana na inshu kubwa ilikuwa ni kuwa na namba ya Ex boyfriend wake?
Zinakutosha?
Sasa unashindana na moyo wa mtu kwa mtu?
Yaani unagombana na mtu kisa ana namba ya mtu fulani?
Halafu kingine bro, Focus na mambo yako, Focus na maisha yako wanawake wanapenda mwanaume anaye-Focus na mambo yake sio ku-Focus na wao.
Mwanamke inabidi umpe changamoto ya kukufikiria kwa kutokuwekeza sana muda wako kwake.
Halafu, ukiona umechagua wanawake dhidi ya ndoto zako, kitakachotokea ni kuwa utakosa vyote (Wanawake na Ndoto zako)

Grow up brother..
 
Pole sana kijana huyo mwanamke akupendi ndio maana hakutii, we nenda zako huko uingereza na ukiwa huko usijisumbue kwa chochote.

Kuna mtu aliwahi niambia hawa watoto wa afu mbili n shida sana unaweza kumuoa alafu bado anawasiliana na ex wake na ukiuliza anajibu n rafiki tu.
 
Usifute namba mwanaume mafia anabadirisha namba moja tu ya kati zingine ziache kama zilivyo hafu tulia mwanamke mara nyingi anakariri namba za mwanzo na za mwisho

Lkn kwa usalama wako mwache

Mwanaume ukimpenda sana mwanamke usije kufanya kuwa mpenzi wako atakuua hakika

Mwanamke akigundua kakuweka angle thita atakugeuza kama chapati

Siku nyingine fanya utani mpigie ukiwa naye hafu weka roud spika cheka tu hafu ondoka bila kukasirika wala kusema chochote
 
Kumsahaulisha, au kuifuta namba ya jamaa, ipo nje ya uwezo wako. Kilichopo ndani ya uwezo wako ni kuendelea na maisha yako.

Usihangaike na kujishughulisha na mambo yanayozishinda nguvu zako au ambayo yapo nje ya uwezo wako.

Fanya kilichopo ndani ya uwezo wako. Set standards. Akishindwa kuzifuata, move on. Usijidhalilishe.
 
Pole sana kijana huyo mwanamke akupendi ndio maana hakutii, we nenda zako huko uingereza na ukiwa huko usijisumbue kwa chochote.

Kuna mtu aliwahi niambia hawa watoto wa afu mbili n shida sana unaweza kumuoa alafu bado anawasiliana na ex wake na ukiuliza anajibu n rafiki tu.
Nimekuelewa sana kaka, bitter truth at its peak.
 
Kumsahaulisha, au kuifuta namba ya jamaa, ipo nje ya uwezo wako. Kilichopo ndani ya uwezo wako ni kuendelea na maisha yako.

Usihangaike na kujishughulisha na mambo yanayozishinda nguvu zako au ambayo yapo nje ya uwezo wako.

Fanya kilichopo ndani ya uwezo wako. Set standards. Akishindwa kuzifuata, move on. Usijidhalilishe.
upo sahihi sana mkuu. Na ndio maana nmekuja ku solicite mawazo naamini nimepata kitu.
 
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
Huyo ndio mpenzi wake.
 
Hawa ndiyo wale ambao ukishaoa anakuwa na matumizi makubwa.

Sehemu kubwa ya matumizi ataielekeza kwa ex wake ili ajipate.
Akijipata watashauriana wavunje ndoa.
Mkeo ataomba taraka na kuondoka na nusu ya mali zako ili akaishi na ex.

Wewe utabaki mpweke, mkiwa, mnyonge na mtu uliekosa muelekeo.

Hivi ndivyo itakavyokuwa. Fanya maamuzi sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom