Nakazia with 6 inch nailkizuri kula na wenzio.Huyu sio mke wako mdogo wangu ni just girl friend so take easy
Yan anashindwa Tanya hesabu raisi sana yani, ngoja aje atandikwe na jabali zitoNa hili tuwafundishe!, hapana kwakweli kama mnapigwa mpigwe tu
Yani girl friend unataka umuwekee mipaka right?kama hivyo kazi unayo.how can i make someone my wife kama na share na watu , wouldnt it be madness kufanya ivo
bro umeoa kweli au jambo langu ujalichukulia uzito
Kula kula kula ila weka mpango kwa mwanamke mwingine. Yaani punguza kumjali afu kumkaza mkaze kweli kweliHabari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness
i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.
Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing
Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.
Am i being to jealousy or my instincts are right?
HakikaNa hili tuwafundishe!, hapana kwakweli kama mnapigwa mpigwe tu
Mnaojua kizungu mnatunyanyasa. Ungeenda jukwaa lenu msiojua Kiswahili.Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness