Mpenzi wangu hataki kufuta namba ya ex wake

Lenin23

Senior Member
Feb 9, 2022
199
325
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
 
She is having second thoughts, qukienda ulaya mwanamke wako ata bounce back kwa Jamaake, wanawake wako vizuri kutengeneza plan B, unajua ili mahusiano yaende lazima kuna standards mkubaliane, sasa kama namba ya Jamaake hataki kuifuta au kupotezea ni sababu she is not all in for you, bado anabet au hakupend kabla yupo na wewe sababu ya nyege and other stuffs, huu ni ukweli ni mchungu ila let it sink in, huyu mwanamke hakupend.
 
Usitake ncheke
1000030994.gif
 
J
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
Kula kula kula ila weka mpango kwa mwanamke mwingine. Yaani punguza kumjali afu kumkaza mkaze kweli kweli
 
Mnaojua kizungu mnatunyanyasa. Ungeenda jukwaa lenu msiojua Kiswahili.
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom