Mpenzi wangu ananitishia

Umesahau Musa na Wachawi wa Misri kubadili fimbo kuwa nyoka? The only difference ni nyoka wa Musa aliwameza wale wa Wachawi kuonyesha tu Mungu ni zaidi lakini mtihani wote walifaulu sema Musa alipata 'A' Wachawi wakapata 'B' so uchawi upo.
hapo poa so huyu jamaaa akileta za kuleta nitamfanyizia mke wangu halafu natishiwa oooooh hainijii akilini unajua ...hata kidogo

hadi sasa nitishiwe mtu unajiaminije hivi eeeh ..
 
yaaan namsubiliaa hapa kesho akijichanganya tuuu ...mdogo mdogo kwa wazee hata buku tano haiiishi .... hakuna namna
..lazima ajue kuwa mke wa mtu ni wa mtu
Hyo ndo best option..Hawezi chezea wake za watu hivyo halafu anachimba biti.Muendee kwa babu tu
 
Kama kigoma baba endelea to na msimamo wako maana kigoma akujambo kwa ayo mambo nilizan upo jiji la mwendo kasi
niko kwa muda mfupi si unajua wasaka tonge na watu wa huku hatar ukiiba mke wa ntu .
.so na mie natumia njia hiyo hiyo
 
Hyo ndo best option..Hawezi chezea wake za watu hivyo halafu anachimba biti.Muendee kwa babu tu
lazima ...halafu sijui kwa nin watu hawajui kuna watu wengine ni tofauti et unanitishia mimi .
.nimeshangaa sana ... sijamtukana halafu anatishiaaaa daaaah ngoja watu wanaloga mahakama yeye ananitishia
 
Hii ni habari,taarifa ama kuomba ushauri...huyo mkeo embu tuwekee picha tujue kama kweli anaweza kumsababisha mtu afanyiwe uchawi!
yuko mzur sana unajua ila kuweka picha no siunajua ndo nimemtorosha kwa home so ...it is confidential ila yuko poa sana
 
lazima ...halafu sijui kwa nin watu hawajui kuna watu wengine ni tofauti et unanitishia mimi .
.nimeshangaa sana ... sijamtukana halafu anatishiaaaa daaaah ngoja watu wanaloga mahakama yeye ananitishia
Hajakujua vizuri huyo..Halafu kigoma kuko poa sana huko. Fanya mishe mdau asirudie tena huyo. Analeta ujuaji mbele ya mali za watu.
 
Hajakujua vizuri huyo..Halafu kigoma kuko poa sana huko. Fanya mishe mdau asirudie tena huyo. Analeta ujuaji mbele ya mali za watu.
we had nasema hiv maaanake najia system zote za hapa na wataalam najuana nao siunajua hela japokuwa bado young ila ninaogopwa na wazeee ...
 
Aligawa namba ya nn sasa???
nimemuuliza akasema alimfuata mara tatu so ikabid ampe ili amjibu so hayo ndo maneno ya baby ...ila yeye akawa msumbufu unajua tatizo sio kumtongoza ila kunitishia mim aiseee ..
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom