Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,709
ha ha haaaaaawewe na huyo demu mnaonekana wote hamnazo... umemvunja kweli mkono au umemtekenya kwenye kwapa...!!!!

Na wewe unahisi kweli anakupenda? Nilichojifunza hapo ni kwamba kaka wewe ni ATM machine na inawezekana dem kakuzuzua maana pamoja na madudu yake lkn unaonekana bado unampenda.
Yaan dem kaliwa ngozi na njemba tatu ukiwa na nae bado unaomba ushauri tena! Hapo unataka ushauriwe nini tena mkuu.
Huyo mwanamke ni mpenda pesa na wewe unaonekana huwa unatoa tu sasa kwa nini asikulilie? Acha ubwege.[
Na wewe unahisi kweli anakupenda? Nilichojifunza hapo ni kwamba kaka wewe ni ATM machine na inawezekana dem kakuzuzua maana pamoja na madudu yake lkn unaonekana bado unampenda.
Yaan dem kaliwa ngozi na njemba tatu ukiwa na nae bado unaomba ushauri tena! Hapo unataka ushauriwe nini tena mkuu.
Huyo mwanamke ni mpenda pesa na wewe unaonekana huwa unatoa tu sasa kwa nini asikulilie? Acha ubwege.[/Q
Na wewe unahisi kweli anakupenda? Nilichojifunza hapo ni kwamba kaka wewe ni ATM machine na inawezekana dem kakuzuzua maana pamoja na madudu yake lkn unaonekana bado unampenda.
Yaan dem kaliwa ngozi na njemba tatu ukiwa na nae bado unaomba ushauri tena! Hapo unataka ushauriwe nini tena mkuu.
Huyo mwanamke ni mpenda pesa na wewe unaonekana huwa unatoa tu sasa kwa nini asikulilie? Acha ubwege.