1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,313
- 3,555
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo
Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke
Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.
Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f