Ndo maana nikatoa taarifa kituoni mkuu, haya mambo mzaha mzaha unaweza kuta mtu kafia kwako ukaishia segereajela inakuita wew
Shukrani, ndo ukubwa ilapole
Mkuuu BAK
Swala la mimba nahisi kama nachezewa akili, hakuwahi kuniambia hapa awali, na kuhusu S nilishamueka bayana kua nilikua na mtu ila tumeachana
Mkuu mi ntakua muwazi tu kama akiniuliza chochote, sihitaji kujipanga, ntakua mkweli tu liwalo na Liwe...Sawa Mkuu inawezekana ni mtego wala hana ujauzito, lakini tegemea hilo swali kama atakupa nafasi ya kukaa nawe ili kuzungumzia hilo la X wako mtoto wa Kitanga mwenye kujua kuonyesha mapenzi ya kweli na pia mtundu na mwenye kujituma kwenye utamu.
Haha mkuu umenichekeshaMwambie zama zmebadrika cio kila homa maralia
Mkuu mi ntakua muwazi tu kama akiniuliza chochote, sihitaji kujipanga, ntakua mkweli tu liwalo na Liwe...
Ngoja hapa nichanganye akili na mzee mzima 'castle milk stout' angalau tushauriane pa kuanzia kesho
Pamoja mkuu, hii awamu kweli mikosi, serikali ya kibabe, wanawake nao wanajikuta wababeYap! hapo kwenye rangi ni muhimu sana. Kama nimuelewa hataona kosa lako kwake hivyo kutokuwa na sababu ya kuvunja penzi lakini akiamua kuvunja penzi kutokana na aliyoyasikia kwa X atakuwa na lake jambo. Kila la heri.
Pamoja mkuu, hii awamu kweli mikosi, serikali ya kibabe, wanawake nao wanajikuta wababe
Mind elaborating how this applies in my case?" a clever person solve a problem, a wise person avoid it "
Ndo hivo mkuu mahusiano magumu sana, ila tatizo ni kwamba I had to dump an innocent girl ili niwe nae, which is not right, but sikua na option..Mahusiano magumu Mkuu, lakini kama kishakuzimia basi usiwe na hofu sana. Maana nakuona unamtreat vizuri sana kama leo uliandaa romantic dinner mahali palipotulia. Hizi za kwenda sehemu kama hizi mkatulia mnaongea yenu huku mkiburudika na msosi na vinywaji huwa nazihusudu sana. Na dalili ni nzuri Mkuu kwani amekuomba umuache atulie kisha mtayaongea.
Sasa mkuu ulitaka nifanyaje? Umuache bila kumtarifu?Makosa n kumuambia
Mwanamke unamuacha
Haa haa unakua umechokoza
Nyuki
Ndo hivo mkuu mahusiano magumu sana, ila tatizo ni kwamba I had to dump an innocent girl ili niwe nae, which is not right, but sikua na option..
Mkuu huyu ex ananitext text za ajabu sana, she seems drunk na anaweza kufanya kitu cha ajabu... Ata kama tumeachana but she was good to me and no matter how I'll try to deny it,I care for her!! Akifanya Ujinga I will be held responsible
Hapa nataka nirudi tu atleast I watch her asifanye Ujinga, is it a good move mkuu BAK?
Yaani mkuu ntajaribu kua honest, S kazima simu, I'll call her friend... Nimueleze kua amuambie huyu ex bado yupo home, drank and all that, determined kufanya Ujinga!! So am going back, just making sure nothing crazy happens....Mh! Ukiamua kurudi na S akigundua unadhani atakuonaje? Au ndiyo mtaa wa mchepuko Mkuu?
Yaani mkuu ntajaribu kua honest, S kazima simu, I'll call her friend... Nimueleze kua amuambie huyu ex bado yupo home, drank and all that, determined kufanya Ujinga!! So am going back, just making sure nothing crazy happens....
Amuambie she got to trust me maana ningekua na nia mbaya nisingemtaarifu!!! Akichukulia vibaya poa tu maana sina namna zaidi ya kua muwazi