Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,450
- 139,787
Dah mkuu mie Africa pamenichosha, okay mlinzi basi.....Aah kwa sasa nasoma sana Do It Yourself (DIY). Na vingi ni rahisi kwa sisi mabachelor, hakuna haja ya housegirl
Dah mkuu mie Africa pamenichosha, okay mlinzi basi.....Aah kwa sasa nasoma sana Do It Yourself (DIY). Na vingi ni rahisi kwa sisi mabachelor, hakuna haja ya housegirl
Uko wapi kwanzaProfesa naomba nichukue mimi nije huko begi nishapanga kabisa ni kubeba na kuondoka.....
Yupo kwa shem ake huyuAu ndo ulikataa kwenda nae US?
Namalizia kupaki viatu, nibebe na koti? Ulaya kuna baridi kwani au ni joto kama dalisalama.....😹Uko wapi kwanza
Huendi kokoteNamalizia kupaki viatu, nibebe na koti? Ulaya kuna baridi kwani au ni joto kama dalisalama.....😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huendi kokote
Ila wewe jamaa, Dah! 🤣🤣🤣Mtafute Nyomi Banxxx hapo New York
Bado ni jioniUwahi kesho kuamka kuwaandaa wapwa wako kwenda shule wasije achwa na school bus kama juzi😂😂💔
Lakini anamiliki korido kwanzia saa 5 usiku hadi 11 alafjiri korido ni eneo lake la utawalaYupo kwa shem ake huyu
😂😂😂waliopo USA tunawajua hawana swaga km za huyu mwwnyekitiLakini anamiliki korido kwanzia saa 5 usiku hadi 11 alafjiri korido ni eneo lake la utawala
Uzi wangu wa kwanza kuhusu mpenzi wangu kukataa kuja nami US ulipata wachangiaji kadhaa huku baadhi walionesha nia ya kuja na mimi. Basi nikajitosa kwa mmoja, kuja kukutana naye mtoto mashallah, sauti makini, umbo lenyewe kabisa.
Wakati huo nilikuwa na majukumu kibao ila nikapangua ili nikutane na mrembo, kwenye moja na mbili nikaingia Mbezi nakutana na chombo kikali, dakika kadhaa mbele tukawa tumesha-sign up na kila kitu. Mtoto ni Nesi, nikamwambia njoo unitibu moyo wangu, mtoto akakubali.
Nikawa nabeba mtoto tunakaa sehemu kupata moja mbili, ila mtoto sio mtumiaji nikaona namtesa. Nikawa nakaa naye maeno ya kupata kilaji kizuri, pia nikaona namtesa maana alikuwa hapendi kula manyama ya kuchoma au supu nzitonzito.
Baada ya kuzurura wiki kadhaa, nikaona ngoja nipeleke ngoma ipajue home. Kwa wakati huo mimi nilishapajua kwake, mara nyingine nilikuwa namuibukia hata usiku, tunaenda kuzurura.
Kimsingi nilikuwa na mambo mengi, na mtoto anadeka, ikawa nikiwa kimya na yeye anakuwa kimya. Kumbuka nina paper works kibao za kuandaa safari inaweza kupita siku mtu hujala, maana tangu asubuhi unakuta umeingia hapa umechomokea kula umerudi hapa, kuja kustuka hujala unaenda kokote tu kujipooza. Halafu bado nilinawiri tu.
Nikawa namaliza na mizunguko yangu usiku, namfuata mtoto kwake ili tuje kuangalia tunda. Mtoto akaona kama napenda kummenya tu sina mapenzi naye. Akalalama mara kadhaa, nikamwambia mimi sio mtu wa kumenya na kusepa ndio maana nimekuleta kwangu muda wowote unaweza kuja. Akaelewa ila akawa bado anakitu kimemkwama nafsini mwake.
Mara ya mwisho nilikuwa nae home, akaongea vitu vilinikata sana. Aliona na-namtreat kama kahaba, aisee ile ilinikata sana. Nikaona juhudi zangu za kumfanya awe wangu zinafikia ukingoni, mbali nakwamba I do crazy things na mpenzi wangu lakini kujiona kahaba nikaona haina afya. Nataka mwanamke ajione mke, kujiona kama kahaba maana yake hata yeye haoni nafasi yake kwangu.
Basi nikaona nisiharakishe, mbali na kuwa nilikuwa na ari ya kutaka nioe kabla kuja huku nikafuta. Usiku ule sikumuonesha kama sijapendezwa na maneno yake, asubuhi tuliagana vizuri then nikapiga kimya. Maana sikufuata mbususu kwake, nilitaka anielewe tufanye vitu tupange mipango thabiti.
Hapo mtu mwitu nikaishi kibachela hadi nikasepa. Na kweli mtoto alikuwa anajiona kama kahaba kwangu japo simpi mwanamke status hiyo. Hakunitafuta sikumtafuta. Ila siku moja nikamtext tu WhatsApp kwa namba inayoanza na +1, akaona mwamba kashayeya.
Kiufupi ni mtoto mzuri, akikubali nimtag nitamtag, ila nadhani anaweza kubadilisha mindset yake baada ya kusoma uzi huu. But so far bado niko single.
Uzi wangu mmoja wa kuuliza nichukue goma gani, diaspora mmoja au ngoja nimtaje ni ndugu yangu Mahorii amenishauri nirudi nyumbani kuchukua mke badala ya kutaka vitoto vya kitasha. Ndugu yangu Ushauri wako nauzingatia sana, hopefully tutakutana siku moja huku u-diasporani kwa ajili ya kupika vyakula vya kinyumbani kidogo.
😁😂Mtafute Nyomi Banxxx hapo New York
Well, pupa nilikuwa nayo, au naona bado ninayo kwa sababu naona umri unaenda. Ila nazidi kuibalanceYou seem una pupa, pupa au speed speed wanawake wengi hawapendi, umemkosa sbb ya kutaka mambo haraka haraka sana, mapenzi yana speed yake, yaanze taratibu sana alafu yaache yachanganye yenyewe, pia usionyeshe una mpenda sanaaaa mwanamke, atakuona hujui mapenzi, mwanamke muonyeshe wewe sio cheap au ww sio akikuhitaji anakupata tu, muonyeshe uko busy hupatikani kirahisi kwa saa yeye anazokutaka, hiyo itamuongezea kukupenda
Any way, ulikuwa na pupa sana ukakosa tegemeo lako la kuoa
Nakucheki mkuuKumbe mkuu uko us, Fanya ni p^m tufanye mpango wa kuonana
Tena kawe ukwamaniHapo kwa shemeji yako unapolala kwenye korido na baiskeli ndo unaita US ?