Mpenzi anatetemeka baada ya kufanya mapenzi, nini kinasababisha hili?

Hiyo huwa inatokea kwa wadada walio kati ya umri wa miaka 17 na 23 hivi wakati homoni zao zinakuwa juu haswa.hata mimi nilishawahi kuwa na msichana wa hivo.alikuwa anatetemeka balaaa hadi nikawa naogopa sana.but kadri alivyozidi kwenda age taratibu ule mtetemeko ukawa una unatoweka mpaka sasa hatetemeki zaidi ya kukakamaaa mwili na kunikumbatia kwa nguvu mpaka mtu nashindwa pumua.
Daah mkuu ume dumu nar mda mrefu..fanya umuoe sasa
 
Wasalamu,

Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal education.

Katika pita pita zangu ya hii tasnia niliwahi kusex na mpenzi wangu wa zamani ilikua mwaka 2012 kuna hali ilimtokea hadi leo huwa najiuliza na sijapata jibu,kiukweli ilikua ni hot sex naweza iita ni show namba moja kwangu bora.

Tulipokua tukimaliza raundi ya libeneke mdada alikua anatetemeka kama kapigwa short ya umeme inamchukua hadi 10 minutes akitetemeka mwili mzima hadi kitanda kinatetemeka, lilikua ni jambo geni kwangu, mimi nilikuwa nakaa pembeni tu namuangalia hadi charge inazima taratibu.

Nimekaa nalo kwa mda mrefu kidogo leo nimeona niwashirikishe kwani JF kuna watu wazoefu na haya mambo,

Hii hali ilikua kitu gani?

Karibuni.
Mwenyewe imenitokea sana hii kitu kwa demu wangu flan toka iringa aloo sijui ni tatizo gan hili yani mapaja yote yanatetemeka akijaribu kujizuia hawez inabid nitulie kama dakika tano au kumi anakaa sawa.
 
mkuu,ilinishamgaza sana hadi kitanda chote kinavibrate,ilibidi niende nje kwanza kupunga upepo ili nije nikute katulia lakini wap,nikakuta bdo anavibrate huku anatoa vilio vya chini chini
 
Nami ni mara yangu ya kwanza kuingia humu jf kuchangia ila mada imanigusa kidogo
labda nieleze kwa upeo wangu kidogo nilionao
Hata nami ilishawahibkunitokea na kuna mtu alinisimulia pia
hiyo hua ni hali ya shauku iliyopitiliza na yakitokea hayo hua umemuacha njia kakati kati ya safari na hua unamuachia mateso makubwa na ili hiyo hali ipotee ni lazima ummalizie safari yake
unajisifu kwamba ulipiga show ya nguvu ila kwa tukio hilo ni dalili ya kwamba hakufika safari yake
ulitakiwa uunganinishe game hadi afike mwisho hiyo hali ingepotea
 
Hiyo inaitwa full body orgasm mkuu.

Kifupi ulipiga show ya kutosha na uliimudu sana, huyo mdada kamwe hawezi kukuacha.

Siku ukikutana na mke wa mtu lazima asaliti ndoa yake aisee
Mkuu asigwa hivi na hio situation inafanana na ya mwanamke akishakojoa anakua kama ameflot hivi anakua haongei kabisa kama amezimia lakin hajazimia ...nayo ni full body orgasm hio mkuu
 
Hiyo inaitwa full body orgasm mkuu.

Kifupi ulipiga show ya kutosha na uliimudu sana, huyo mdada kamwe hawezi kukuacha.

Siku ukikutana na mke wa mtu lazima asaliti ndoa yake aisee
Hakuna wanawake wawili wanaofanana,maswala ya orgasm ni individual zaidi,alipomkuna huyo manzi akapagawa usitegemee na mwingine itakuwa hivyo,kila mmoja ana namna yake akifanywa ndio ana-enjoy sex,acha kumlisha mwenzako matango pori.
 
Wasalamu,

Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal education.

Katika pita pita zangu ya hii tasnia niliwahi kusex na mpenzi wangu wa zamani ilikua mwaka 2012 kuna hali ilimtokea hadi leo huwa najiuliza na sijapata jibu,kiukweli ilikua ni hot sex naweza iita ni show namba moja kwangu bora.

Tulipokua tukimaliza raundi ya libeneke mdada alikua anatetemeka kama kapigwa short ya umeme inamchukua hadi 10 minutes akitetemeka mwili mzima hadi kitanda kinatetemeka, lilikua ni jambo geni kwangu, mimi nilikuwa nakaa pembeni tu namuangalia hadi charge inazima taratibu.

Nimekaa nalo kwa mda mrefu kidogo leo nimeona niwashirikishe kwani JF kuna watu wazoefu na haya mambo,

Hii hali ilikua kitu gani?

Karibuni.
alikuwa anasikia baridi ungemfunika tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom