MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Mtu yeyote anayeipenda CHADEMA - we mwanachama, shabiki au mtu wa kawaida tu ukweli huu atakuwa ameuona hata kabla ya Uchaguzi Mkuu kuisha mwaka jana. Mbowe alipaswa kujiuulu mara tu baada ya chama chake kufanya vibaya kwenye uchagui mkuu, mara tatu chini ya uongozi wake. Ni sehemu ya demokrasia na ni sehemu ya uongozi Bora. Chama kinapopata Katibu Mkuu Mpya kilipaswa kupewa Mwenyekiti mpya na timu mpya kabisa ya Sekretatiari ambayo ingekiandaa chama kuelekea 2020.
We mzee umeishiwa kiwango hiki siku hizi