Mpambano kati VILLAGE LIFE na TOWN LIFE..!

Buku 2 anakula na kulewa kabisa km ni mlevi..! Parachichi, ndizi, mapera na matunda mengine hayauzwi kijijini kwetu..! Wengi huwa wananunulia mafuta ya rays&mamys yale ya mgando..! Au chupi za book.
Hayo ni matumizi ya buku mbili huko bush haya mjini buku mbili ya kazi gani? Make kuhonga laki tu mnaanza malalamiko
 
Hayo ni matumizi ya buku mbili huko bush haya mjini buku mbili ya kazi gani? Make kuhonga laki tu mnaanza malalamiko
Kijijini kesi za ugoni/kuchepuka siyo ugomvi mkubwa km town, ukishikwa mtu mnakubaliana unamlipa inakuwa siri ya ndani.

Town mashakunaku na umbea mpaka ndoa itavunjika hapoo...!

Afu ikimula demu au mke wa fulani chat inapanda sana..
 
Kijijini wachawi na funza wa miguuni ni balaa,vijijini kijana wa miaka 24 kazeeka utafikiri mzee wa miaka 60 kwasababu ya pombe za kienyeji.Kijijini watu hawana muda wa kupiga pasi nguo zao,nguo zimejikunjaaaaa utadhani zimetafunwa na ng'ombe!!!??Wanawake wa vijijini hawazijui losheni wala perfume, wao ni mafuta ya mgando maarufu kama 'RAISE'.
 
jaribuni kutofautisha kama watu mlioenda shule sasa.. naona tulikuwa tunataniana..

angalia nyanja zifuatazo..

1. kiuchumi..
2. kisiasa..
3. kijamii..

Hapo ndio utajua wapi kuna umuhimu wa kuwa na jiji kama dar es salaam na kijiji kama namtumbo...
 
jaribuni kutofautisha kama watu mlioenda shule sasa.. naona tulikuwa tunataniana..

angalia nyanja zifuatazo..

1. kiuchumi..
2. kisiasa..
3. kijamii..

Hapo ndio utajua wapi kuna umuhimu wa kuwa na jiji kama dar es salaam na kijiji kama namtumbo...
Ndugu hoja yako dhaifu sana..!

Kamwe usijeundermjne the role of rulal pepple ukumbujr mtu ili aishi kwanza msosi, na mjini hakuna mashamba..!

Ila kiuchumi pia ujue biashara kubwa duniani chakula ni moja wapo hivyo wanachangia uchumi.

Pia rudi kwenye utamaduni na undugu watu wa kijijini wako na upendo mkubwa kuliko walioko town..!

Mapenzi ya kijijini ni asilia, utamaduni wetu umetunzwa vyakula natural, mazingira mengi ni adventures za kutosha town is uchafu kila kona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom