Yudasti
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 947
- 1,353
Siku zote mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe. Tujaribu kuangalia upande mwingine kabla ya kulalama. Je, HUDUMA za kijamii na miundo mbinu mingine tuwasubiri wafadhili? Ni aibu kulalamika wakati serikali inapambana kujitegemea. After all kama hutaki kulipia nakushauri uipaki hiyo chainsaw utafute mbadala wa kukwepa mafuta.Siyo lazima.