Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Mmh
Tupe na sababu za mwanaume kuchepukaHeshima yenu waungwana,
Katika kupitia thread mbalimbali humu jukwaani nimegundua kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii ya kizazi hiki! Kutoridhika imekuwa sehemu ya maisha ya sasa si kwa mwanaume au mwanamke kuchepuka ndiyo habari ya mujini kwa sasa hadi wale walioaminika kuwa viongozi wa dini maana hakuna mwenye kinga ya kutotenda dhambi hivyo imekuwa kujitwalia kadri tupendavyo nani atakuwa kiini cha mabadiliko katika wimbi hili linaoelekea kupoteza wengi.
Tatizo ni nini hasa kwa uzoefu wangu wa kuishi katika dunia hii na katika ndoa kwa muongo zaidi ya mmoja nimegundua mwanamke anaweza akatulizwa (walioko ndoani) tu endapo mume atakidhi mahitaji yote ya kiuchumi,zaidi kuwa na muda wa kutosha na mkewe bila kusahau kusaidiana kufikishana katika kilele cha maraha ambacho.Mungu aliona ni vema atupe wanadamu kama kitulizo ktk maisha yetu haya yenye adha nyingi.
Sasa cha ajabu kuna baadhi ya wanaume wamekuwa busy wakiamini magari,pesa na fahari ndiyo vitaziba uhitaji wa mke katika kukidhi haja ya upendo ndiyo maaana lawama haziishi watu wanachapiwa na kuishia kulalama eti wanawake hawaridhiki hata uwape nini mwanamke haswa alilyelewa vyema akihudumiwa bed na akapata mahitaji ya kiuchumi sina cha kufata nje hata kidogo.
Nina zaidi ya miaka 13 ya ndoa hivyo najua nisemacho sioni fahari wala sijawahi kufikiria kutoka na mtu nje ya mume wangu kwa muda wote huo ila kuna mazingira baadhi wanaume wanasababisha hadi mke unajiona mhitaji,mume hashikiki ndani kila siku kuja home late mvivu kitandani hayuko romantic nk unategemea mke afanyeje?
Ilihali naye ana damu inachemka(hapa siharalishi kuchepuka ila mke anakuwa katika upweke mkuu nani ampe faraja mpaka mke anaamua kutoka nje kuna tatizo kubwa hivyo chukueni tahadhari waume wenye tabia hizi zinajeruhi sana mioyo yetu (nasi tunapendwa sana huko nje uwezo wa kutoka kama mnavyotoka tunao sana..ila ni staha tu na hofu kwa Mungu muumbaji.Wanaume many sehemu yenu na wanawake pia ili tuishi kwa raha bila kuumizana.
Ha ha ha nawafarijiHa haaa imebidi uwahurumie leo
WordIli mwanaume awe fit kitandani, anahitaji kuwa physically, mentally and psychologically fit. Kwa nature ya mwanaume, kama bread winner, hayo yote yatategemea uwezo wake mfukoni, zinaingia ngapi, na kwa kasi gani. Kwa wanaume walio wengi, hali ya kiuchumi hairuhusu wao kuwa huru na fit. Ukijumlisha na mahitaji ya dada zetu ambayo ni mengi, kuliko kile mwanaume anaweza kuafford, mwanaume anajikuta ana stress daily. Wale wa chache wenye uwezo wa kuzitafuta zikaonekana, nao wanakosa muda wa kuwaridhisha wa mama kitandani.
Ushauri wangu: wanawake wasimame wenyewe kiuchumi, wasiwe tegemezi, ili wakikupa na na mwanaume kitandani kusiwe na issue zingine zaidi ya ilowakutanisha. Vinginevyo, michepuko haitokoma
Nacho maanisha ni hivi mume ukitimiza wajibu wako kwa mkeo hakuna shida..wapo wanawake ambao hawajatulia wanatafuta pesa kwa ajili ya kujikimu na wakipata hawawezi toka.... . ..Uma.laya tu hamna kingine. Uchumi hauna uhusiano wowote na uaminifu.
Nakubaliana na wewe ndg..Bila Shaka wamekuskia. Kuna wanawake wengine ni vicheche kwa asili yao. Hata wakitoshelezwa Kila idara ni lazima wachepuke, hawana kinaya,ni kama ilivyo kwa wanaume pia,ana mke mzuri anatekeleza majukumu yake kama mke ndani but utashangaa mwanaume anachepuka. Ukipata mwenza aliyetulia ni kushukuru.
Hakuumi bana, kwani anachukua moja kwa moja, kitu haina makombo ile teh!!Kugongewa kunauma sana, kunauma kuliko msiba poleni wanaume
we acha tu mkuu usiombe.Kugongewa kunauma sana, kunauma kuliko msiba poleni wanaume
Hao ndio wajasilimali katika mapenzi.hapo kwenye UCHUMI ndo tatzo mfano una kazi na mumeo ana kazi lakini wewe unataka ya mumeo tu yako umeiweka kwapani
Umenena vyema sana ndg...nadhani kwa karne hii wanawake tunatafuta noti hivyo kiasi mmerahisishiwa burden umepungua. ..so play ur partIli mwanaume awe fit kitandani, anahitaji kuwa physically, mentally and psychologically fit. Kwa nature ya mwanaume, kama bread winner, hayo yote yatategemea uwezo wake mfukoni, zinaingia ngapi, na kwa kasi gani. Kwa wanaume walio wengi, hali ya kiuchumi hairuhusu wao kuwa huru na fit. Ukijumlisha na mahitaji ya dada zetu ambayo ni mengi, kuliko kile mwanaume anaweza kuafford, mwanaume anajikuta ana stress daily. Wale wa chache wenye uwezo wa kuzitafuta zikaonekana, nao wanakosa muda wa kuwaridhisha wa mama kitandani.
Ushauri wangu: wanawake wasimame wenyewe kiuchumi, wasiwe tegemezi, ili wakikupa na na mwanaume kitandani kusiwe na issue zingine zaidi ya ilowakutanisha. Vinginevyo, michepuko haitokoma
Mkuu kuna watu humu wanapenda sana kujustify cheating, si wanawake si wanaume. Cheating ni janga la dunia, acha tu wabanjuke watakavyo Mungu mwenyewe ataamuaga siku ya kiamaHakuna excuse ya kutoka nje ya ndoa. Huo ni umalaya tu.