KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Duuh halafu ukute hiyo buku mbili haitoshi kukodi bodaboda kwenda kwa mpenzi ili kujua nini kinaendelea.Ndio hali halisi.....hakuna namna nyingine.......
Mla huliwa......
Duuh halafu ukute hiyo buku mbili haitoshi kukodi bodaboda kwenda kwa mpenzi ili kujua nini kinaendelea.Ndio hali halisi.....hakuna namna nyingine.......
Mla huliwa......
Ama kweli wewe ni sugu.Huyo kaenda kutafunwa, kuna mjanja kamtumia hela ya bajaji na anasubiri kwa hamu ajishindie bao za kutosha na kuufanya usiku uwe mfupi!...... Kama namuona shem anavyolalama baada ya fyagio la chuma kupita