Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

IMG_20240904_180210_064.jpg

Tunaishi hapa 😎😎😎😎 mtu wangu Cc ephen_ min -me Mr Q Carleen
 
Games of Thrones
The House of the Dragons
24
Mad Max Furiosa
John Q
Italian Job
Mission Impossibles zote
Bourne identity
Bourne supremacy
Bourne legacy
Casino Royale 007
Salt
Queens Gambit
Peaky Blinders etc etc
 
Kivipi uangalie muvi af urudie? Munazikariri
Mi hapo tu ndio napowashangaa watu.

Unajua kuna ile kurudia vipande kama highlights hii sina shida nayo sana.

Ila kuanza episode 1 unaangalia yote hauruki hata episode moja mpaka unakamilisha season 6, huo ni ugogo.

Yupo jamaa yangu kila nikienda kwake namkuta yupo na Prison Break, ananiomba nimpe series mpya, nampatia.

Lakini inapita mwezi unakuta katika stori namuuliza uliicheki ile series niliyokupatia ananiambia hapana nasubiri mpaka nimalize PB.

Namshangaa namuuliza mwezi ulioisha si nilikuona unaicheki na upo season ya mwisho?? Anajibu ndio kwani unafikiri ile ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuiangalia??

Ile nishaiangalia way back huko ila huwa nairudiaga, so siku ile nilikuwa nairudia tena maana ile huwa hainichoshi. Nikamwambia huo ni Ugogo kijana wangu
 
Back
Top Bottom