boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,033
Mbona upo salama, hapo ata wangekua hawafuta wewe kama inaisha june13 basi una mwezi mzima yaani kati ya june13 mpaka july13 ndio time period yako ya msamaha na kufanya malipo hapobata traffic akikusimamisha hakuchaji chochote zaidi ya kukumbusha tu ila kuanzia july14 ndio ungepigwa faini tra. Kwakua mpaka july mosi utakua bado upo katika kipindi salama sasa hauna haja ya kuogopa kuenda gari yako wala hauna aja ya kulipa..kula bata tu banaWadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.
Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?