Moto wateketeza Kiwanda cha Nguo cha 21st Century cha Morogoro asubuhi

Wenzetu hawa na Mabima....hawajambo..

Japo siamini Kama Mo Kwa utajiri alionao anaweza Kucheza tena Hizo game ...kwanza kiwanda Chake kina oda Nyingi Sana NJE ya Nchi ...nitashangaa
 
It is very true.

Kuna 'harufu' ya mchezo mchafu hapo.....

Tukumbuke kuwa wengi waliouziwa viwanda hivyo vya Umma, wana asili ya Bara Asia na viwanda hivyo badala ya kuviendeleza kwa kutengeneza nguo wao wakavigeuza maghala ya kutunzia vitu vyao!

Inawezekana moto huo Ukawa kama 'sabotage' kwa kuwa wale ambao walikuwa hawajivendeleza viwanda hivyo wishaambiwa wavirejeshe serikalini...
Hapana ni ajali tu hakuna hujuma kwani kiwanda hiki ni moja ya viwanda vichache vinavyojiendesha kwa ufanisi
 
It is very true.

Kuna 'harufu' ya mchezo mchafu hapo.....

Tukumbuke kuwa wengi waliouziwa viwanda hivyo vya Umma, wana asili ya Bara Asia na viwanda hivyo badala ya kuviendeleza kwa kutengeneza nguo wao wakavigeuza maghala ya kutunzia vitu vyao!

Inawezekana moto huo Ukawa kama 'sabotage' kwa kuwa wale ambao walikuwa hawajivendeleza viwanda hivyo wishaambiwa wavirejeshe serikalini...
Wenzetu hawa na Mabima....hawajambo..

Japo siamini Kama Mo Kwa utajiri alionao anaweza Kucheza tena Hizo game ...kwanza kiwanda Chake kina oda Nyingi Sana NJE ya Nchi ...nitashangaa
Mfano kauli aliyoitoa JPM mwenyewe jana kuwa zimelipwa billion karibia 60 kwa ajili ya sare za polisi na haikuletwa hata pair moja na mtu akalipwa kwa muda wa week moja. Ni kitu ambacho huwezi kukiamini na labda ukiwaambia wengine huko nje hawawezi kukiamini pia lakini kimetokea na ni kweli hivyo na hili linawezekana!
 
Moto unateketeza Kiwanda cha Nguo cha 21st Century cha Morogoro asubuhi hii, chanzo na hasara hivijajulikana.

Kiwanda hiki kipo kinajulikana kwa jina lingine la polister, kipo eneo la Kihonda Viwandani.

⁠⁠⁠Kiwanda hicho ni moja ya viwanda vichache vinavyofanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa Mwalimu Julias nyerere kimeungua moto asubuhi ya leo.

du pole zao wafanyakazi wa kiwanda hicho, maana sasa itabidi abood awapunguze kazi. halafu eti kiwanda kinaungua lakini poliCCM wameenda hapo kutunisha matumbo badala ya kuzima moto...hii nchi sijui imerogwa na nani!
 
Amina.Ila naomba kusahihisha hapo.Nilitaka kusema milele amina lakini hizi smart zinataja neno kabla hujaamua
Ukiandika post, chini ya Maelezo yako Kuna sehemu pameandikwa edit, kwa huyo unaweza sahihisha ulipopost, hata Kama umeshatuma tayar edit inafanya kazi yake pale unapohitaji
 
du pole zao wafanyakazi wa kiwanda hicho, maana sasa itabidi abood awapunguze kazi. halafu eti kiwanda kinaungua lakini poliCCM wameenda hapo kutunisha matumbo badala ya kuzima moto...hii nchi sijui imerogwa na nani!
kiwanda hiki hakimilikiwi na abood yeye anamiliki kiwanda cha canivas ambacho kwa sasa anafugia mbuzi
 
It is very true.

Kuna 'harufu' ya mchezo mchafu hapo.....

Tukumbuke kuwa wengi waliouziwa viwanda hivyo vya Umma, wana asili ya Bara Asia na viwanda hivyo badala ya kuviendeleza kwa kutengeneza nguo wao wakavigeuza maghala ya kutunzia vitu vyao!

Inawezekana moto huo Ukawa kama 'sabotage' kwa kuwa wale ambao walikuwa hawajivendeleza viwanda hivyo wishaambiwa wavirejeshe serikalini...

Naafikiana nawe 100% hao viumbe ni wahovyo kuliko tunavyowadhani
 
Back
Top Bottom