Moto unawaka ndani ya Kiwanda cha Cotex cha Africana (Dar es Salaam)

Attachments

  • IMG-20241128-WA0026.jpg
    IMG-20241128-WA0026.jpg
    41.3 KB · Views: 2
Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu.

Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.
Wamechoma tena.. Next week mapitio na makisio ya hasara yatakuwa mezani kwa bwana bima😂
 
Mmh una uhakika chemi & cotex ni kiwanda Cha mengi? Sio cha mhindi? Nafahamu mengi alikuwa anafanya biashara ya kuuza dawa za meno na sabuni, ila hizo biashara si aliachana nazo akabaki na bonite na ipp media na migodi? 🤔 gallow bird
Hivi white dent siyo ya mengi?
 
Bidhaa zetu za zamani,
Whitedent Harbs, E9 lotion, Blue lady lotion, soft touch hair oil, chemicola Ya black currants nk nk.
 
Ifike wakati viwanda viache ubahili viajiri fire warden au fire safety officer ili kuondokana na kupunguza haya majanga
 
Back
Top Bottom