Moto ulioteketeza tajiri wawaacha hoi Zimamoto

Ndio nimeona video zenye ndoo za hela zinasambaa mitandaoni kumbe ndo zinatoka huko duh
 
Wasukuma ni matajiri sana ila hawajivuni kama wale wenye miguu ya vigimbi kutoka.......... Mlima wa juu kabisa Africa
Huo utajiri ama umaskini?
Tajiri anaweka pesa bank na hapangiwi masharti
 
Hapa MWANZA kila habari ni mzee shinyanga. Huyu mzee alikuwa ni wa hatari si kawaida na inasemekana za mtaani, kwamba ndani mwake zilikutwa machine tatu. Sasa sijuhi ndo zilitumikaje, hatujuhi.
Machine gani
 
Hapa MWANZA kila habari ni mzee shinyanga. Huyu mzee alikuwa ni wa hatari si kawaida na inasemekana za mtaani, kwamba ndani mwake zilikutwa machine tatu. Sasa sijuhi ndo zilitumikaje, hatujuhi.
Mafia huyo
 
Hapa MWANZA kila habari ni mzee shinyanga. Huyu mzee alikuwa ni wa hatari si kawaida na inasemekana za mtaani, kwamba ndani mwake zilikutwa machine tatu. Sasa sijuhi ndo zilitumikaje, hatujuhi.
Mashine za aina gani,za kusaga maindi au?
 
what kwani jiji la Mwanza halina system ya maji mitaani,why magari yalipokuwa yameishiwa yanakimbia kujaza mengine na muda unapotea,miji yetu lazima iwe na mfumo wa kuwa maji mitaani ,moto unapotokea zimamoto wawe na uwezo wa kupata maji pale pale kwenye tukio
Hata Dar hawana huo mfumo.
 
Kuna tetesi zilikutwa silaha 3 za kivita aina ya AKA 47 sasa kama ni kweli Mzee Maduhu Kama RAIA wa kawaida aliwezaje kumiliki silaha za kivita?? Think twice ndo maana Watu wengi Jijini walifurahia kifo chake
 
Hapa MWANZA kila habari ni mzee shinyanga. Huyu mzee alikuwa ni wa hatari si kawaida na inasemekana za mtaani, kwamba ndani mwake zilikutwa machine tatu. Sasa sijuhi ndo zilitumikaje, hatujuhi.
Mashine za ni nin mkuu embu funguka?
 
Huyu mdingi, aliwahi kunisweka kituo cha Polisi Kati pale Mwanza kwa kosa la kujenga kaukuta vibaya, Ila baada ya muda mfupi aliwa amuru polisi waniachie, hiyo ni miaka ya 1990, pesa zake alikuwa anatembea nazo kwenye Rambo bastora na Toto's kwa pembeni. Tangu nimezaliwa pesa nyingi zaidi nimewahi kushuhudia kwake tu kwa macho,bila Shaka alikuwa Hana elimu, sikuwahi kuona anatulipa kwa kufuata majina kwenye daftari! Yeye ndiye aliyekuwa anapandisha mishahara mikubwa kwa as mafundi ujenzi, Alikuwa ataki umrudishie chenchi! Ukifanya kazi nzuri anakulipa zaidi ya mapatano. Alikuwa na kumbu kumbu sana(kukariri)
 
Back
Top Bottom