MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 13,102
- 29,364
Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki.
Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara.
Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana.
Kama hali iliyopo haikuhamasishi basi hata angekuja Motivational speaker toka mbinguni hakuna kitakachotokea.