Duh! hii kali ya mwaka! Le mutuz msanii wa kizazi kipya? hivi kwa mzee wake alifukuzwa au? mbona mzee mzima anadhalilika mjini?Mtanzania anayejuana na mabilionea wengi kuliko Mtanzania yoyote yule nchini lakini bado anakaa kwa mshua na hata hajawahi kununua luku amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa kufanya remix ya wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala". Chanzo chetu kinadai jamaa huyo alikuwa ameenda studio kufanya kitu kama remix ya wimbo huo na kuupa jina la "TATIZO KWETU DOWNTOWN" lkn alipocheki na simba huyo alimchomolea na kumshauri awekeze nguvu nyingi Instagram maana upande huo unahitaji akili na kipaji cha hali ya juu.
Tulipouvutia waya uongozi wa Wasafi ulidai gwiji hilo la mitandao ya kijamii ni vigumu sana kutusua kwenye anga za mziki ukizingatia umri unamtupa mkono, "unajua hustle za mziki zinahitaji kama miaka minne ili utoke,sasa kwa sasa hivi King ana miaka 61 na ukiongeza miaka 4,atakuwa na miaka 65,mpaka hapo huwezi kumuita tena ni msanii wa kizazi kipya maana hamna msanii wa kizazi kipya mwenye miaka 50" aliongeza afisa wasanii kutoka huko Usafini.
Tulipompigia simu king simu iliita bila mafanikio
Source : blog ya wanamuziki
Mwambie tu ukweli hiyo bidhaa hatumiiHa ha ha, natania tu mkuu.
le bilionare anayemiliki noah mjiniLe akilibwaz
King of all social media mwenye insta followers chini 200k.
Mzee wa degree 3
Mzee wa kunywa evening tea pale double tree masaki every evening.
Mzee wa kuishi downtown 5 mins from office.. You know.
Brand ambasador wa asasi dairy.
Brand ambasador wa salama condoms.
Le akili kubwaz... Le mutuz...kwani kuna mwenye tatizo huko
Baba Swalehe anaendesha ambulance
kwell atashindwa kununua luku ya home
Mwambie tu ukweli hiyo bidhaa hatumii
Ok fanya jaribio mtukane hadi kesho afu le mutuz atakuja hapa yuko happy tu
BwahahahahahahaaaaaaaaaAkili kubwa
baharia degree holder
ana umri mkubwa kuliko mama yake
shati linafunika vitz
Hajawahi kununua luku
mzee wa mabebez
Aaaa, mwambie wewe mwenyewe bana!