Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,934
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza
Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa mimi na yeye tunapata shida, inafiki hatua akiwa na mumewe anapita kwa kujibanza banza sijui anahisi nawaza nini, kama nisipowahi kusolve hili, mumewe atapata shida sana. Kodi inakaribia kuisha, itanibidi nihame kwa kweli
Kuna watu wanafaidi ndugu zanguni. Somebody with chocolate body colour, hizo paja😋, akiwa anafua anafunga rubega, mmh mh mh mh mmmmmmh, tumacho fulani hivi twa kulia lia, toto wa mtu hana makuu, full shangwe na furaha iliyoambatana na aya usoni. Mola anaumba aisee
Na Mola aniepushie hili!