Mohamed Hussein 'Zimbwe' aheshimiwe

Kwa nini usiwapeleke na wengine ili wawe kaka yeye au bora zaidi yake?

Ni ujinga kuamini Eti Uchawi unacheza Mpira! Rukwa au Kigoma wangekuwa vinara wa soka!
Nilimpeleka Mkude, Onyango na juzi tu nimempeleka Kagere angalia moto atakaowasha NBC now.
Kaa hivyohivyo kijinga
 
Hana lolote huyu anapiga Wenzie vipapai
Alikuwa anawekwa benchi na asante kwasi jamaa akaja kuanguka kidogo tu ndo akapotea mazima.huyu hana lolote.

Pia gadiel wakati yupo yanga alikuwa anamuweka huyo zimbwe benchi national team sasa kwanini zimbwe hata afcon hakwenda? Uwezo mdogo.

Kosa la gadiel ni kwenda simba ndo akaenda kujiua kabisa kakutana na mchawi wake uso kwa uso.
 
Ukitaka ajiuzulu kucheza mpira au ahame namba mwambie amkabe Kisinda au Adebayor
Kwani takwimu zako Kisinda kakutana na Tshabalala mechi ngapi na ngapi alifanya Vizuri dhidi yake?Mi nakumbuka alimsumbua mechi moja tu, nyingine zote katulizwa tu
 
dogo anajitaidi sana tuu, ila sasa kwenye yale mambo yetu ya kienyeji ni hataree, hata kagere ambaye anaogopwa sana kikosini hamfikii
Wewe ni shuhuda?upo katika nafasi ya kuweza kutoa ushuhuda wako?Umesikia tu kwa watu, ni jirani wa mganga ulimuona akiingia kufanya ulozi, au huko kwa wachawi ni uncle ako ulikuwapo akienda au wewe mwenyewe ndio ulimtengenezea ndumba???Jibu kwa utulivu usipanic Mjomba ni swali la kawaida tu
 
Simba Hakuna Beki Wa Kati Wa Kitanzania Kama Mwamnyeto Na Job, Hakuna Mido Ya Kitanzania Kama Feitoto Na Kwa Upande Wa Winga Sijaona Simba Winga Wa Kibongo Anayemzidi Chochote Dickson Ambundo....Kama Unabisha Wataje?
So nafasi zilizobaki ni wachezaji wa Simba?utakuwa umemuunga Mkono mtoa post bila kujua,Hapo kwa kina Job upo sahihi , simba ina tumia sana mabeki wa kati wa kimataifa kwa miaka kadhaa sasa, ila kwa Ambundo hebu jitafakari, anazo any proven records??
 
Ni Kweli Hao Jamaa Wako Vizuri Hasa Huyo Beki Mangalo, Mayele Izo Goli Angefikisha Kama Angeongeza Umakini Kidogo Akiwa Kwenye Box..Mfano Kama Ile Nafasi Aliyopoteza Mechi Na Geita Gold Alikuwa 95% Ya Kuweka Mpira Kambani Na Tungepata Goli La Pili Pale.
Uko sahihi Sana. Asiyekubali hajui tu kuwa hajui.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa mimi ndiye kocha namuhamishia nafasi ya "Holding midfielder". Ule uwezo wake wa kumiliki mpira jamaa anatisha aisee. Anyway kuna " Zimbwe" mwingine yupo Kibaha hapa though ana miaka minne now.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kuna game moja ya ligi Mwaka Jana kipindi cha pili Zimbwe akacheza number 6 ilikuwa burudani baaab kubwa .uko sahihi mia mia
 
Tukienda kitakwimu huyo Ambundo wako hamfikii Dilunga labda unaongelea ushabiki. Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu. Kennedy aliefit ni zaidi ya huyo Job.
Nakubaliana na suala la Dilunga Yuko juu Kwa Ambundo, lakini Kwa Kennedy na Job hapana. Kennedy ana mapungufu Makubwa ya kiuchezaji wakati Job ana mapungufu kiumbo. Job anakupa vitu vingi Kwa wakati mmoja wakati kitu kikubwa unachokipata Kwa Kennedy ni ukabaji. Job ni Wawa aliyekuwa kwenye viwango kipindi kile, Wawa aliyekuwa na uwezo wa kuona Kagere aliposimama na kudondosha mpira nyuma ya mabeki usifike Kwa kipa lakini ukutwe na MK14 na kuleta madhara. Kennedy na Mwamnyeto Wanaweza kukupa faida ya Uzuiaji lakini kuanzisha mashambulizi utawasamehe.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Ngoja yanga waje na kibwana shomari hapa kusanya nguo kabisa
Huwezi kumfananisha Kibwana na Mohamed Hussein. Huo ndo ushabiki wa JF wa Mtu kutetea timu au mchezaji wa timu yake dhidi ya timu nyingine hata kama anaona kiwango kiko chini. Ushabiki wa bishana mpaka ufe wengine hatuuwezi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni wale wa kudanganywa na Watangazaji wa mpira sio? Hao Wachezaji walithibitisha wapi ubora wao? Waliwahi kufanya nini katika continental football, iwe na vilabu vyao au timu ya taifa?
Huyu Mohamed Kafanya nini ambacho Norriega na Mkapa hawakufanya? Naongelea watu niliowaona Kwa macho. Hiyo fanali ya CAF ndogo 1993 wenzio tulikuwa uwanja wa Taifa hatusimliwi tulikuwepo.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni wale wa kudanganywa na Watangazaji wa mpira sio? Hao Wachezaji walithibitisha wapi ubora wao? Waliwahi kufanya nini katika continental football, iwe na vilabu vyao au timu ya taifa?
Huyu Mohamed Kafanya nini ambacho Norriega na Mkapa hawakufanya? Naongelea watu niliowaona Kwa macho. Hiyo fanali ya CAF ndogo 1993 wenzio tulikuwa uwanja wa Taifa hatusimliwi tulikuwepo.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
So nafasi zilizobaki ni wachezaji wa Simba?utakuwa umemuunga Mkono mtoa post bila kujua,Hapo kwa kina Job upo sahihi , simba ina tumia sana mabeki wa kati wa kimataifa kwa miaka kadhaa sasa, ila kwa Ambundo hebu jitafakari, anazo any proven records??
Kwani Huyo Dilunga Ana Record Gani?? Au Ka Prove Vitu Gani Jamani Au Ndo Kufunga Lile Goli Na Red Arrow?
 
Aliyemshauri Gadiel kwenda Simba akikutana naye amchome kisu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Yaani wewe mpumbavu una roho mbaya sana, sidhani kama una akili ya kawaida ambayo binadamu wengine wanayo.

Kwahivyo akichomwa kisu wewe hapa ambaye unajificha nyuma ya keyboard utafaidika nini?

Ukitaka abakie hapo hapo hata kama hakuna maslahi kwake ili akufuhishe..! Mbona viongozi wa Yanga walimsihi sana lakini yeye aliweka wazi hili.

Kwahivyo unataka kusema hata Mayele wako akitakiwa na timu labda Esperance Sportive de Tunis na akapata wakati mgumu kuingia kwenye mfumo utasema maneno hayo..?!

Halafu unajifanya kuwa anajua kitu ilhali ni mweupe.

Wewe kweli Zero.
 
Mimi ni Yanga lakini Kuna jamaa wa biashara anacheza namba 7 Renatus Ambrosi na Beki wa Kati wa biashara Abdulmajid Mangalo, hawa jamaa kwasasa wanastahili kuitwa timu ya Taifa.

Huyu Renatus hana mambo mengi yaani angekua Yanga, Mayele angeshafikisha goli 15 mpaka Sasa za ligi kuu.
Mkuu kuna middle moja iko Dododma Jiji inaitwa Cleophas Mkandala, ni fundi hao kina Chama wakasome, sema ipo club ndogo
 
Mkuu kuna middle moja iko Dododma Jiji inaitwa Cleophas Mkandala, ni fundi hao kina Chama wakasome, sema ipo club ndogo
Mkandala ni kiungo mzuri ila anahitaji kuongeza jugudi kwenye nguvu na Kasi anatabia za kujiamini kama Faisal.
 
Kwani takwimu zako Kisinda kakutana na Tshabalala mechi ngapi na ngapi alifanya Vizuri dhidi yake?Mi nakumbuka alimsumbua mechi moja tu, nyingine zote katulizwa tu
Wamemuona kisinda wao jana?kalambishwa nyasi ..yaan jamaa hakumuacha atembee kabxaa....afu kitu ambacho hawajui ni kwamba mpira wa kisinda ni ya kizamani...hii kujitangulizia na kuanza kukimbia kama kichaa beki akishakusoma huwez fanya chochote...ndo maana jana ilikuwa rahvc kumkaba
 
Ni wakati wa kumtambua Zimbwe...
Ana discipline, juhudi, maarifa, mzalendo kwa SIMBA..
Hatujasikia amekeazana na makocha wote waliopita Simba..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom