Mohamed Dewji and a beautiful inspiration quote from the Holy Bible

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
17,268
32,267
As seen from Instagram

# I once told you. Matajiri wengi huwa wapo so versatile when it comes to spiritual issues.

Tajiri au kiongozi kuwa Mktisto au Muislamu hakumzuii kwenda kutafuta msaada wa kiroho kwa kiongozi au mpakwa mafuta "Annointed/ spiritually gifted person" from the other religion.

Na hii ni kwasababu most rich people are devoted desciples of the light.

Desciples of the light only follow the light no matter who carries it.

All they do is to follow the light regardless of who bares it.

Shida ipo kwa akina kajamba nani.

Wao ndo wanajiona wanajua sana dini kuliko watu wengine.

Ndio maana wanaishi maisha ya kikafiri (maisha ya kimasikini)

Kwa mujibu wa Uislamu umasikini ni ukafiri.

Screenshot_20200322-171912.png
 
Naona kuna kitu ulitaka kusema ukazunguka mwishoe ukasema.kama kitu huna ujuzi nacho basi usikulupuke kukifanya,naona umepata muda wakuandika ila umekosa muda wa sekunde chache hata ku google kupata maana ya hilo neno.

Ndio maana waafrika wengi hatuendelei kwa sababu inaweza tukawa ni wajinga au ni uvivu wa kutotaka kujishughulisha/kuchemsha bongo.

Neno KAFIRI ni nomino,kitenzi chake ni kufuru.mtu yeyote atakaye kufuru anaitwa KAFIRI.Je,kukufuru ni nini? Kukufuru kupo kwa aina nyingi mfano (1) kumfananisha mwenyezi mungu na kiumbe chochote au kuufananisha uwezo wake na kiumbe chochote.

(2)kukataa maamlisho yake. Hiyo ni baazi mifano nimekutolea.

Wengi wana usema uislamu vibaya ila kiukweli hawaujui uislamu wenywe,wengi wamemezeshwa uwongo kuhusu uislam basi wamejaa chuki na waislam na uislam bila sa abu yeyote.

Naomba unipe aya inayo sema KAFIRI NI MASIKINI ndani ya quran.maana uislam unaongozwa na quran.
 
Mkuu, Kuna watu wameelezwa kwenye Quran kuwa ni "thumun bukumun",yaani hawasikii wala hawaoni,yaani hawana uwezo wa kutumia akili zao hata chembe....

Jews, Christianity,Islam ni dini zilizoanzishwa na Ibrahim,Quran ni kitabu kilichochanganya habari za Musa,Yesu,Daudi na kuongezea habari za Muhammad..

Mo Dewji hajafanya makosa kunukuu moja ya mistari ya Biblia huo ndio Uislam..
 
Back
Top Bottom