FDR.Jr
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 1,359
- 353
MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU NISOME KTK WARAKA HUU SHAGHALA BAGHALAAA
Najua hukutazama mpira mjomba ni aibu tupu hamna mtu mle, mchezaji hatari leo alibaki kua Kibu tu
lakini akaja kujitia doa Deal ya Kibu Di Kibu De! ambayo ilikuwa ni deal ya Thamani ya Milioni 80 ambayo ilikuwa ni Ku beat deal ya Utopwax ambayo nayo ilikuwa milioni 50!
Fumba na kufumbua ikapigwa Milioni 200 kwa Tajiri Mchezaji akapewa 50 na mambo mengine kadhaa yakaja mbele yake mambo ambayo yalisababisha kuondolewa kwa Watu watatu kwenye Sajili!
Sajili nyingine ambayo ilikuwa ya Magumashi ambayo Bidada nae alishiriki ni ya Pape Ousmane Sakho hii ilimuondoa Mzee wetu kwenye Vitabu vya watu wenye kuaminiwa na Tajiri!
Lakini mambo ambayo yalikuja kuwa Wazi kabisa ni Kutokuelewan kwa Bidada na Try again hapa sasa ndipo Mpasuko ulipotokea
kila mmoja akisema hataki kufanya kazi na mwenzie kwa walichokiona kama ni kutokukubaliana mambo mengi ambayo yalikuwa ya katika Ujenzi wa Timu
Umesomeka ankal,na jana nililisema hili la upigaji lkn ajabu muwekezaji anabebeshwa gunia la misumari,anatoa pesa ya usajili watu wanaweka cha juu akishtukia akaminya mshiko kuogopa kupigwa watu wanaona tajiri bahili hafai
Huu mgogoro wa Barbara na Salim ulifukuta kabla Tupinkele hajapigwa chini,cheni hii ya upigaji ndio ilimuweka magori pembeni baada ya tajiri kuona anatoa pesa lkn sajili hazieleweki
na deal ya Kibu ilimuondoa na Mulamu ambae Kibu ndio akienda Kusaini pale Ofisini kwake
Hivi mahawahi kujiuliza wale watoto wa Mjini akina Lukumay, Seif Magari, Bin Kleb, Ndama wako wapi kwa sasa pale Utopolo?
hao ndio lilikuwa Genge lililoishikilia Uto chini
lakini leo wako wapi?
Ndugu zangu Mimi kuna mambo mawili yalinivunja nguvu kabisa, kwanza la kwanza kuna mtu muhimu Sana nchi hii alikua akishirikishwa kwenye maombi pale Simba,kipindi cha Magu baada ya Magu kuondoka wakawa hawamtumii tena, kuna vijana wapiganaji kupitia mmoja wetu humu wakaniomba nipenyeze hizi habari ndani ili yule bwana arejeshwe kwenye Kitengo majibu nilivyopata kutoka kwa viongozi ni kwamba, "Bwana ni kweli huyo mtu ni muhimu Sana, ila tatizo lake kila game anataka 5M!!" hapo nikachoka kabisa, hivi 5M ni pesa ya kulalamika kwenye ushindi?!
Lakini la pili issue ya mchezaji kijana Lameck Lawi, huyu najua alikua kwenye rada zetu, nikawa nawakumbusha viongozi wetu kila nikitazama game ya Coastal, awali wakaniambia kikwazo ni Binslum, alipoondoka Binslum kule Coastal nikawa nawakumbusha tena nikaambiwa kikwazo ni Mzee Mguto huwezi amini wiki mbili kabla nikawakumbuaha tena wakaniitikia baadaye nasikia kaenda Azam!!
Nikajua hapa hatuna viongozi kabisa kabisa
Yule hakufanya Lobbying!
Hakufanya hizo FITNA
hakufanya Sajili
Aliletwa kuwafanya Washabiki kuwa Wateja lakini hilo pia hakuweza
Mwisho wa siku akaenda Utopolo na akaanza kutuhujumu kwa kutoa siri zetu za vita nje ya Timu
na hata ondoka yake ndani ya Simba ilijaa usaliti
Ule ubingwa mfululizo tunabeba ceo nani,?? Tunaingia robo kwa mara ya kwanza Ceo nani,??leo hii timu ipo kigoma unakuta Ceo yupo bizee Dar anamuacha Ahmed ally pekee
Aliyepewa jukumu la kuwafanya mashabiki kuwa wateje ni Hashimu mbaga na siyo Senzo
Sajili zake zilikuwa bora mno alimleta laly bwalya, medi kagere, mugalu, sakho, mbrazil yule nimemsahau jina
LEO HII SIMBA haina CEO wa mpira ina Ceo wa biashara kwenye mpira,tumepata faida gani kwenye ishu ya kibegi kwenye mlima zaidi ya kukuza utalii na brand ya simba ila sio kukuza mpira wa simba .
hapa sasa ndipo kuna taarifa kidogo unakosa!
CEO wetu wa kwanza ni Magori ambae katika kipindi chake tuliitoa Nkana na kwenda Makundi
Tarehe 7/9/2019 Senzo ndio akapewa Kazi na Msimu wake wa kwanza Simba haikufanikiwa Kucheza Robo fainali tukitolewa na UD Songo kwenye Mechi Kanuni ya Away goal mechi zilizochezwa tarehe 10/8/2019 Msumbiji na tarehe 25/8/2019 Dar es Salaam na pale ndipo ukaanza Mkakati wa Kumsajili Louis Miquisssone hapa sidhani kama Unaweza Sema Senzo ndio alitupeleka Group Stage sababu alikuwa na Siku 3 tu toka aanze KAZI SPONGA!
Na Senzo aliacha Kazi tarehe 9/8/2020 kabla hata hatujacheza Mechi yetu ya kwanza ya Mtoano ya Klabu Bingwa Afrika kwa Msimu wa 2020/21 vs Plateau FC ya Nigeria kule Nigeria Tarehe 20/11/2020 kama Unakumbuka Mwaka 2020 Mashindano yalichelewa sababu ya Covid 19 ambapo kwa Tanzania Mwaka ule 2020 kuanzia Mwezi 3 hadi wa 6 shughuli nyingi za Kiuchumi pamoja na Mashule na Vyuo zilifungwa!
KWA KIFUPI SENZO HAKUWAHI KUWA SEHEMU YA SPONGA KUCHEZA MAKUNDI MWAKA WOWOTE ULE!
Simba tuliitoa Nkana tarehe 23/12/2018 Dar es Salaama na Mechi ya Kwanza naikumbuka Vyema nilienda Zambia na tukapata Ajali njiani kwa Bus letu Simba Sports kugonga Lori lililokuwa limeegeshwa Barabarani kule Zambia Mechi ilichezwa Tarehe 15/12/2018!
Pale KITWE tulikuwa na Magori na sio Senzo pitia upya Taarifa zako!
Mimi namuita Senzo ni Takataka Nikiwa na Sababu za Msingi kabisa kubwa ni namna Alivyoondoka Ofisini Sponga Asubuhi kulivuja tetesi anaenda Utopolo alipoulizwa akakana watu wakaanza kumfatilia chini kwa chini majira ya saa tano Asubuhi tarehe 9/8/2020 akatoka Ofisi za Simba zilikuwa pale Posta mpya kuelekea Salamander zilipo Ofisi ya GSM watu walimfatilia Chini kwa chini wakamuona anaingia Mule GSM siku ile ile alipotoka GSM akaandika Barua ya kujiuzulu na ilipofika Majira ya jioni hivi akatoa TAARIFA yake ya kujiuzulu Sponga kwa kutumia Account yake ya Twitter
Nitaweka na VIAMBATA HAPA kukupa Uhalisia wa Hili Jambo!
Huyu kafeli pakubwa na mbaya zaidi ana kikundi chake cha watu sita mmoja wapo ni shemeji yake kabisa na kaka yangu tumbo moja yupo katika kamati ya nidhamu ya Klabu(jina nalihifadhi) huwa braza anamuulizaga vitu vya Sponga kuna siku ndio akamuambia tupo watu sita kikundi chetu letu ni moja ya yeye, Jaribu Tena, Mzee wa Kilwa, Hasanoo na wengine wawili ila kadiri braza alivyokuwa anamuuliza vitu na yeye anavyojibu nikamuambia achana nae wameshafeli hao huyo hawezi kukuambia madhaifu ya viongozi wake kila kitu atatetea tu ikafika mahali anasema eti Simba wamshukuru Try Again anawaokoa kwa mengi braza akaniuliza kama anatuokoa mbona sioni maendeleo yeyote nikamuambia braza hapo unapoteza muda wamefeli hao na hawezi kukiri akaniambia nakubaliana na wewe nikamuambia hata usipimgie utapata hasira tu kwa sababu hawana la maana sasaivi la kukuambia.
Kwa mengi niliosikia na kuambiwa unaona kabisa uongozi umefeli pakubwa mfanyabiashara unaenda kumpa aangalie football operations na ana mapungufu makubwa katika kusimamia mpira hilo tatizo kwa mtazamo wangu
Shida ni scouting na ulaji wa commissions
1.Nimejibiwa vizuri na kwahyo acha maneno ya shombo.
Mo Mwana Simba mwenzangu na Mtanzania mwenzangu ,amkaaaaaaaa, wakati ni sasa kusuka ama kunyoaaa, wee muondoe Try Again and Gang sisi tutamkafin fedhuri Mangungu na pacha wake wa Gizani Hassanoooo
Ieleweke hata yule Lawyer aliyepambana na mangungu naye ni KIRUSIIIIII TENA CHA HATARIIIIIII hatumtaki tunataka Mwana Simba kwa ajili ya Simba for real.
MO HUYU CEO WETU tayari keshawekwa ktk line ameacha weredi anapaswa kuwa shaped, Imani yule si huyu wa kutuletea scout na madudud ya Jobe na Kasheba Fred…..
SISI TUNAONA NA SASA TUNAKUAMBIA, WEWE HUONI>? AMA UNATAMANI KUTUKANWA PALE MKAPA AMA KURUSHIWA MAWE NDIO UJUE UVUMILIVU WAKO KWA HAWA WAPUUZI MANGUNGU NA MWENZAKE JARIBU TENA NI MATESO YA SIMBA HAWA WAKO KTK PAYROL YA GSM NA TAIFA GAS KISA WENGINE UBUNGEEEEE
DALILI YA MVUAAAA , HUHITAJI MWAVULI ONDOA KIWINGU ILI SIMBA IWE BORAAA NA SALAMA
RUDISHA MAGORI/BABRA KTK UENYEKITI WA BODI……ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHAAAAAA
RUDISHA HAWA WAWILI HAPO , WEKA SIMBA AFFAIRS MBELEEEEEE
- “Kwa kikosi chetu kilivyo kwa sasa, kimkakati nimeyapenda mnoooo matokeo ya leo, kwakua hayatupotezei chochote zaidi ya heshima ambayo hupenda huko mbele ingeharibika mazima”alisikia mwana Simba mmoja makini sana.
- Mo, hivi ndivo tulivopokea matokea ya jana dhidi yetu toka kwa Mashujaa wa Kigoma. Wewe kama Rais wa heshima Simba sport club unatuelewa? Tafakariiiiii sanaaaa
Najua hukutazama mpira mjomba ni aibu tupu hamna mtu mle, mchezaji hatari leo alibaki kua Kibu tu
- jamani sisi wengine ni MAKOCHA wa huu Mchezo tukisema kitu huwa ni baada ya Kufanya Deep Analysis
- Humu ndani wote ni Simba ifike muda tuambiane Ukweli japo unauma
- Tulikushangaa sababu wewe ni mmoja wa wasifia timu yetu direct ikiwemo takwimu za Fred 😂😂😂
- Kuna kitu kinaitwa kuutazama Ukweli kwa Macho yako halisi
- Ndicho kimenisukuma kusema tushukuru Mungu kutolewa na Mashujaa
- Dhambi kubwa ya Viongozi wetu ni kutengeneza njama za makusudi kumuodosha Barbara
- Na jungu inasemekana lilitengenezwa na Salim
- Ankal …..Barbara alikuwa mpigaji?sio kuwa alikuwa anaweka kauzibe upigaji mpaka kaundiwa zengwe akaamua amwage manyanga?
- Nilikuwa naongea na Simu kidogo mambo yakaingiliana!
lakini akaja kujitia doa Deal ya Kibu Di Kibu De! ambayo ilikuwa ni deal ya Thamani ya Milioni 80 ambayo ilikuwa ni Ku beat deal ya Utopwax ambayo nayo ilikuwa milioni 50!
Fumba na kufumbua ikapigwa Milioni 200 kwa Tajiri Mchezaji akapewa 50 na mambo mengine kadhaa yakaja mbele yake mambo ambayo yalisababisha kuondolewa kwa Watu watatu kwenye Sajili!
Sajili nyingine ambayo ilikuwa ya Magumashi ambayo Bidada nae alishiriki ni ya Pape Ousmane Sakho hii ilimuondoa Mzee wetu kwenye Vitabu vya watu wenye kuaminiwa na Tajiri!
Lakini mambo ambayo yalikuja kuwa Wazi kabisa ni Kutokuelewan kwa Bidada na Try again hapa sasa ndipo Mpasuko ulipotokea
kila mmoja akisema hataki kufanya kazi na mwenzie kwa walichokiona kama ni kutokukubaliana mambo mengi ambayo yalikuwa ya katika Ujenzi wa Timu
Umesomeka ankal,na jana nililisema hili la upigaji lkn ajabu muwekezaji anabebeshwa gunia la misumari,anatoa pesa ya usajili watu wanaweka cha juu akishtukia akaminya mshiko kuogopa kupigwa watu wanaona tajiri bahili hafai
Huu mgogoro wa Barbara na Salim ulifukuta kabla Tupinkele hajapigwa chini,cheni hii ya upigaji ndio ilimuweka magori pembeni baada ya tajiri kuona anatoa pesa lkn sajili hazieleweki
na deal ya Kibu ilimuondoa na Mulamu ambae Kibu ndio akienda Kusaini pale Ofisini kwake
- Ili Tuweze kuendelea na Kufanikiwa Tunapaswa kupata Tajiri mpya ambae atakuwa na Muda na Team
- ama Mo Alete Mtu mpya ambae ataweza fanya alichofanya GSM pale Utopwax
- lakini ndani ya miaka hii miwili ama Mitatu Ijayo Uto watapata Mafanikio ambayo tumekuwa tukiyangoja na kuona kama tupo hatua chache kuyafikia
Hivi mahawahi kujiuliza wale watoto wa Mjini akina Lukumay, Seif Magari, Bin Kleb, Ndama wako wapi kwa sasa pale Utopolo?
hao ndio lilikuwa Genge lililoishikilia Uto chini
lakini leo wako wapi?
- Wakati sisi tunawaza Kufanikiwa Viongozi wenu wa Simba wanaleta Mada ya Simba Network kwa maneno ya kuwalaghai kuwa ni Project kubwa kuliko zote kumbe Dhumuni la hiyo Simba Network ni kuiua Friends of Simba
- Mo haishi Bongo toka alipotekwa akaamua kuishi Dubai hivyo umbali nao tatizo lkn kama angepata mtendaji ambaye atafanya kazi kiuweledi umbali sio tatizo,apate mtu kama vile GSM alivyoamua kumuamini Eng Hersi,mwanzo Mo alimuamini sana Magori mpaka akampa cheo kuwa awe mshauri wake sijui kama bado hicho cheo anacho maana kilikuwa cha kubandika tu sio officially
- I know each and everything na siku aliyosepa Babra walifanya sherehe wakisema sasa tutafanya kazi
- Deal zote hizi zilikua za Mzee Magori labda kama alimshiriksha Babra kama CEO, Sasa hivi deal hizi kakamata Jaribu Tena na watu wake, ndio hao wanaruletea akina Sawadogo, Jobe, Fred n.k
- Hatar1 niionayo baada ya tajiri kushtuka ndio hii vita inaanza sasa ya kumpiga vita Mo ili aonekane mbaya kiasi inafika mahali walitaka yale mabadiliko ya Katiba kipite kile kipengele cha "Uwakilishi" wahonge wanachama wachache Katiba Ibadilike waongeze wawekezaji.
- CEO Network Hii si tu kuwaondoa Friends Of Simba pekee, hii ilikua pia kujaribu kumuonyesha Tajiri kua wao pia wanaweza, sababu Tajiri kawaambia, nadhani nyote mnakumbuka ile Tweet yake akisema, "Kama Bodi inashindwa kutengeneza vyanzo vya pesa hiyo Bodi haifai". Pale ndio vita rasmi ilitangazwa na Tajiri.
Ndugu zangu Mimi kuna mambo mawili yalinivunja nguvu kabisa, kwanza la kwanza kuna mtu muhimu Sana nchi hii alikua akishirikishwa kwenye maombi pale Simba,kipindi cha Magu baada ya Magu kuondoka wakawa hawamtumii tena, kuna vijana wapiganaji kupitia mmoja wetu humu wakaniomba nipenyeze hizi habari ndani ili yule bwana arejeshwe kwenye Kitengo majibu nilivyopata kutoka kwa viongozi ni kwamba, "Bwana ni kweli huyo mtu ni muhimu Sana, ila tatizo lake kila game anataka 5M!!" hapo nikachoka kabisa, hivi 5M ni pesa ya kulalamika kwenye ushindi?!
Lakini la pili issue ya mchezaji kijana Lameck Lawi, huyu najua alikua kwenye rada zetu, nikawa nawakumbusha viongozi wetu kila nikitazama game ya Coastal, awali wakaniambia kikwazo ni Binslum, alipoondoka Binslum kule Coastal nikawa nawakumbusha tena nikaambiwa kikwazo ni Mzee Mguto huwezi amini wiki mbili kabla nikawakumbuaha tena wakaniitikia baadaye nasikia kaenda Azam!!
Nikajua hapa hatuna viongozi kabisa kabisa
- Mangungu tumemuweka wwnyeww tunao uwezo wa kumtoa kasheshe ni huyu Muhene aka Jaributena kawekwa na tajiri na ndio tu ana mamlaka makubwa labda tajiri apate mtu sahihi japo huwezi pata mbongo ambaye hapigi kabsa sio rahisi kwani hata yule msomali Hersi lazma anapiga sema yeye anapiga huku anapatia kwenye baadhi ya sajili zingine anapiga mfano okrah scudu guede yupo yule mNEW CASTLE upigaji bongo upo ila tupate atakaekua anapiga huku anatujali wanasimba
- UKINIAMBIA NANI CEO WAKO BORA WA MUDA WOTE PALE SIMBA NITASEMA CEO SENZO
- huyu alikuwa Takataka
- Yule alikuwa muajiliwa alikuja Tz kikazi katupa njia za fitina za soka la Afrika mwishowe tukaanza kupambana,usimchukie kisa alienda utopolo angalia alipokua kwako alifanya nini,???
- alipokuwa kwangu hakufanya lolote Kaka
Yule hakufanya Lobbying!
Hakufanya hizo FITNA
hakufanya Sajili
Aliletwa kuwafanya Washabiki kuwa Wateja lakini hilo pia hakuweza
Mwisho wa siku akaenda Utopolo na akaanza kutuhujumu kwa kutoa siri zetu za vita nje ya Timu
na hata ondoka yake ndani ya Simba ilijaa usaliti
Ule ubingwa mfululizo tunabeba ceo nani,?? Tunaingia robo kwa mara ya kwanza Ceo nani,??leo hii timu ipo kigoma unakuta Ceo yupo bizee Dar anamuacha Ahmed ally pekee
Aliyepewa jukumu la kuwafanya mashabiki kuwa wateje ni Hashimu mbaga na siyo Senzo
Sajili zake zilikuwa bora mno alimleta laly bwalya, medi kagere, mugalu, sakho, mbrazil yule nimemsahau jina
LEO HII SIMBA haina CEO wa mpira ina Ceo wa biashara kwenye mpira,tumepata faida gani kwenye ishu ya kibegi kwenye mlima zaidi ya kukuza utalii na brand ya simba ila sio kukuza mpira wa simba .
hapa sasa ndipo kuna taarifa kidogo unakosa!
CEO wetu wa kwanza ni Magori ambae katika kipindi chake tuliitoa Nkana na kwenda Makundi
Tarehe 7/9/2019 Senzo ndio akapewa Kazi na Msimu wake wa kwanza Simba haikufanikiwa Kucheza Robo fainali tukitolewa na UD Songo kwenye Mechi Kanuni ya Away goal mechi zilizochezwa tarehe 10/8/2019 Msumbiji na tarehe 25/8/2019 Dar es Salaam na pale ndipo ukaanza Mkakati wa Kumsajili Louis Miquisssone hapa sidhani kama Unaweza Sema Senzo ndio alitupeleka Group Stage sababu alikuwa na Siku 3 tu toka aanze KAZI SPONGA!
Na Senzo aliacha Kazi tarehe 9/8/2020 kabla hata hatujacheza Mechi yetu ya kwanza ya Mtoano ya Klabu Bingwa Afrika kwa Msimu wa 2020/21 vs Plateau FC ya Nigeria kule Nigeria Tarehe 20/11/2020 kama Unakumbuka Mwaka 2020 Mashindano yalichelewa sababu ya Covid 19 ambapo kwa Tanzania Mwaka ule 2020 kuanzia Mwezi 3 hadi wa 6 shughuli nyingi za Kiuchumi pamoja na Mashule na Vyuo zilifungwa!
KWA KIFUPI SENZO HAKUWAHI KUWA SEHEMU YA SPONGA KUCHEZA MAKUNDI MWAKA WOWOTE ULE!
Simba tuliitoa Nkana tarehe 23/12/2018 Dar es Salaama na Mechi ya Kwanza naikumbuka Vyema nilienda Zambia na tukapata Ajali njiani kwa Bus letu Simba Sports kugonga Lori lililokuwa limeegeshwa Barabarani kule Zambia Mechi ilichezwa Tarehe 15/12/2018!
Pale KITWE tulikuwa na Magori na sio Senzo pitia upya Taarifa zako!
Mimi namuita Senzo ni Takataka Nikiwa na Sababu za Msingi kabisa kubwa ni namna Alivyoondoka Ofisini Sponga Asubuhi kulivuja tetesi anaenda Utopolo alipoulizwa akakana watu wakaanza kumfatilia chini kwa chini majira ya saa tano Asubuhi tarehe 9/8/2020 akatoka Ofisi za Simba zilikuwa pale Posta mpya kuelekea Salamander zilipo Ofisi ya GSM watu walimfatilia Chini kwa chini wakamuona anaingia Mule GSM siku ile ile alipotoka GSM akaandika Barua ya kujiuzulu na ilipofika Majira ya jioni hivi akatoa TAARIFA yake ya kujiuzulu Sponga kwa kutumia Account yake ya Twitter
Nitaweka na VIAMBATA HAPA kukupa Uhalisia wa Hili Jambo!
Huyu kafeli pakubwa na mbaya zaidi ana kikundi chake cha watu sita mmoja wapo ni shemeji yake kabisa na kaka yangu tumbo moja yupo katika kamati ya nidhamu ya Klabu(jina nalihifadhi) huwa braza anamuulizaga vitu vya Sponga kuna siku ndio akamuambia tupo watu sita kikundi chetu letu ni moja ya yeye, Jaribu Tena, Mzee wa Kilwa, Hasanoo na wengine wawili ila kadiri braza alivyokuwa anamuuliza vitu na yeye anavyojibu nikamuambia achana nae wameshafeli hao huyo hawezi kukuambia madhaifu ya viongozi wake kila kitu atatetea tu ikafika mahali anasema eti Simba wamshukuru Try Again anawaokoa kwa mengi braza akaniuliza kama anatuokoa mbona sioni maendeleo yeyote nikamuambia braza hapo unapoteza muda wamefeli hao na hawezi kukiri akaniambia nakubaliana na wewe nikamuambia hata usipimgie utapata hasira tu kwa sababu hawana la maana sasaivi la kukuambia.
Kwa mengi niliosikia na kuambiwa unaona kabisa uongozi umefeli pakubwa mfanyabiashara unaenda kumpa aangalie football operations na ana mapungufu makubwa katika kusimamia mpira hilo tatizo kwa mtazamo wangu
- Kwa kifupi sana Senzo hakuwahi kuwa Sehemu ya Simba kutinga Makundi moja kwa moja (Directly) labda kama ilikuwa (Indirectly)
- Unaweza kuainisha hizo njia?