nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,571
- 20,137
yani leo ndugai alikuwa kama kapandwa kichaa kilichojificha siku nyingi!!!"nyie askari mtoeni nje mnyika,nimesema mtoeni haraka,nyinyi mapolisi gani nyinyi?yani mnashindwa kumtoa" nikakumbuka alivyompiga gongo la utosi yule mpinzani wake jimboni mbele ya hadhara hadi akazimia masaa kadhaa...nikaogopa ghafla kuwa bulaya yuko hatarini!!