Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Nimemuelewa vizuri mkuu lakin hiyo stegi ya mwisho kwenye haka kajiko ndo kananipa shida,nikifungua siisikii gesi ikifanya shiiiii ili nichukue njiti niwashe
Tafuta mkaa tu.ukileta masikhara.ukiacha ges ijae chumbani.ukipiga tu kiberiti.
MSIBA.
 
Itakuwa hujaweka vizuri! chomeka hiyo valve then zungusha kama unafunga nati ikaze. Baada ya hapo zungusha koki ya kuwashia/ kutolea gas kutoka kulia kuelekea kushoto, itatoa sauti kama nyoka yaani hsiiiii, toa njiti ya kiberiti washa sogeza kwenye huto tutundu lakin usikaribishe sana unaweza ungua. Pole kwa kejeli ulizopata.

Ukimaliza leta mrejesho
Unafaa kuwa mshauri nasaha
 
Imeziba....usipoteze muda..kanunue kingine..la km jiran yko analo km hilo..chukua valve yk bandika kwako kutest utaona
Sie ndio tunaoshinda jikoni..na nishawah tumia hicho
Hiyo ishu nyingine tena, maana bei yake iko vizuri, haipungui 20 hapo
 
Sasa gesi itajaa vipi chumbani mkuu wakati hata nikifungua kale kakoki gesi aifoki
Wee.unaijua harufu ya ges.?hauwezi jua inatoka kwa mbaaaali.si kweli haitoki kabisa labda uwe umeifunga valve.
 
Mh,kumbe izo valvu wamezitengeeza ki ujanja ujanja,langu miezi miwili cjalitumia
Nunua burner nyingine...hazikai hizo...ukitumia muda mrefu zinatoboka kwa kutu...na km jiko hutumiii vitobo vinaziba..
Mi ishanitokeaga...
Enzi za usela nishanunuaga burner mara 3....sio imara hasa kwa kutu ndio penyewe
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Halafu wewe jamaa muongo mtungi huo mdogo ndo umejaza gesi kwa 50,000?.
Pili mbona siku unapost ilikuwa sio jumapili hapo ndo unazingua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom