Mnawezaje ku kwichi kwichi bila music?

Habarii,katika kitu kimenishinda ni hiki kukwichi kwichi bila music yani kukiwa kimya mfano umeme umekata huwa inaniwia vigumu sana katika hili tendo sifurahii hata kidogo napenda wakati wa kwichi kwichi kuwe pembeni kuwe na music..vipi wezangu huwa mnawezaje kukwichikwichi bila music sehemu imepoa tu mnawezaje?
Usiniambie unapenda music wa reggae wakati wa kwichi kwichi
 
Habarii,katika kitu kimenishinda ni hiki kukwichi kwichi bila music yani kukiwa kimya mfano umeme umekata huwa inaniwia vigumu sana katika hili tendo sifurahii hata kidogo napenda wakati wa kwichi kwichi kuwe pembeni kuwe na music..vipi wezangu huwa mnawezaje kukwichikwichi bila music sehemu imepoa tu mnawezaje?
Hapa kwangu kuna mpangaji anamapigo yako akikwichikwichi yeye mziki ni sauti kubwa lakini naona haimsaidii maana anaekwichiwakwichiwa anasaundi kubwa kuliko sabwufa, watu wanakimbiaga uani.
 
Mkuu Yegomasika mengine nikiandika hapa huu uzi utahamishiwa jukwaa la wakubwa.

mkuu BAK najua hunifahamu huenda ili jina unaliona hapa Mara ya kwanzA....ila Mimi nimeanza ifuatilia jf kitambo kabla sijafungua akaunt...Nachotaka unisaidie mkuu nielekeze huko JUKWAA LA WAKUBWA NAFIKAJE...mkuu ntafurahi sana kama utanambia nimeuliza watu kibao humu sijapata jibu zaid ya KASHFA za kuniita Niko secondary wakt ni MTU mzima kabisa nimepga kura Mara NNE mkuu NISAIDIE JUKWAA LA WAKUBWA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanafunzi wa Udsm badala ya kuomba kufundishwa namna ya kuishughulikia papuchi mnaanza na kupiga mziki
 
Habarii,katika kitu kimenishinda ni hiki kukwichi kwichi bila music yani kukiwa kimya mfano umeme umekata huwa inaniwia vigumu sana katika hili tendo sifurahii hata kidogo napenda wakati wa kwichi kwichi kuwe pembeni kuwe na music..vipi wezangu huwa mnawezaje kukwichikwichi bila music sehemu imepoa tu mnawezaje?

Huo ni ujinga tu na mara nyingi muziki kwenye kuchi kuchi hupendwa na wasiojuwa thamani na raha ya gegedo. Mimi ni mwanamme wa shoka na DJ katika gegedo....I mix the right tunes for you to sing (zile kelele) huku nikiangalia usoni mwako which tune inakupa raha zaidi. Then nikishapata the right beats zinazo tune sauti yako vizuri, nasugua santuri sawa sawa mpaka unajikojolea na kuishiwa nguvu, huo muziki utakusaidia nini wakati huko kwenye dunia nyingine, na kwanza utausikiaje tu na hizo tunes zako? Kumbuka, si kila mwanamme anajuwa kusugua santuri, kwetu kusini tunafundwa jandoni haya!
 
Kujiunga huko tuma pm ya maombi kwa MODS ili wakuunganishe Mkuu.

mkuu BAK najua hunifahamu huenda ili jina unaliona hapa Mara ya kwanzA....ila Mimi nimeanza ifuatilia jf kitambo kabla sijafungua akaunt...Nachotaka unisaidie mkuu nielekeze huko JUKWAA LA WAKUBWA NAFIKAJE...mkuu ntafurahi sana kama utanambia nimeuliza watu kibao humu sijapata jibu zaid ya KASHFA za kuniita Niko secondary wakt ni MTU mzima kabisa nimepga kura Mara NNE mkuu NISAIDIE JUKWAA LA WAKUBWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom