Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

Unatoa mawazo ya kuingia USA huku umeegemea mgomba kijijini...ni bora kutafuta maisha popote pale kuliko kuingia kwa hao jamaa na vibali vya kazi vikiwa haviko sawa itakuchukua muda mrefu kidogo kukaa sawa na ukiwa hauna vibali utafanya kazi za hovyo hovyo ili uweze kulipa kodi na lishe....
Nimesema hii mada inahusu mabaharia, wanaume mtu kazi sio toto lele mama kulialia tu, ko dogo Kaa pembeni hujui kitu
 
Tatizo vijana mnajazana ujinga sana huko ughaibuni bila makaratasi siyo rahisi kutoboa utaishia kufanya kazi za chini ya meza, na hata hayo makaratasi kuyapata siyo rahisi kama mnavyodanganyana lazima usote kwanza na ukiingia kichwa kichwa deportation inakuhusu, tatizo watu wakiambiwa ukweli wanadai wanakatishwa tamaa mara sijui we mtoto wa mama hujui kitu yani ujuaji tu utafikiri wao ndio kwanza kuwa na hiyo mipango ya kufika huko
 
Siongea nawanaokaa kwa shemeji mm ko Kaa kwa kutulia
 
Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.

Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA 🇺🇸

Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna

The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.

Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA 🇺🇸.

MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.

N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Kama kaka ako ametoboa kwa njia hyo wewe unasubiri nini????
 
Dunia inakimbia aisee! Yaani enzi za mababu zetu walitufuata mpaka vita vikatokea, leo hii mnajipeleka wenyewe kwa njia ya magendo.
Hizi ni akili nyeusi bro
Dunia nzima sijui ni nchi gani haikutawaliwa
Watu wa jamii zote wanazunguka dunia nzima kutafuta fursa
Hapo kijijini kwako tu kuna watu hapo wametoka nchi za mbali

Alafu Marekani haina mwenyewe kila utakayemgusa ana asili ya nchi alikotoka

Nenda katafute fursa bro acha mtindio wa mawazo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.

Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA 🇺🇸

Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna

The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.

Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA 🇺🇸.

MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.

N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Yaani nimesoma hili andiko lako nimeishia kutikisa kichwa tu kwa kusikitika.
IMG_1716.jpeg

IMG_1720.jpeg

IMG_1719.jpeg

IMG_1718.jpeg

Uziri ni kwamba bado mna nafasi, hamkuzaliwa hivyo. Badala ya kuendelea kupapasa na kukisia, just bueni hivyo vitambaa vyenu usoni.
 
Siongea nawanaokaa kwa shemeji mm ko Kaa kwa kutulia
Mpwayungu acha mawazo yako ya vijiwe vya kahawa hapo Chamwino, USA sio kama Chipogoro tulia uelekezwe acha ubishi,kwanza nani atakupa kazi ukiwa huna work permit hata moja?! Usione wale wanaolala barabaran wanapenda, Hupewi hata kazi ya kuzibua vyoo ukiea huna kibali hata kimoja na ukianza process za kutafuta hivyo vibali ndio zitaanza hizo kesi za ulifika vipi hapa USA, Matokeo yake ni deportation au kifungo ndani ya USA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom